Rich Mavoko hana furaha ndani ya WCB ingawaje imemletea mafanikio ya muda mfupi

Rich Mavoko hana furaha ndani ya WCB ingawaje imemletea mafanikio ya muda mfupi

Mavoko yupo sehemu sahihi na namuona anaiprove kila kukicha kila la kher kwake
 
Rich mavoko kuwa kwny lebel ya mond ni kosa ila ommy kusainishwa kwny lebel ambayo kiba ni miongoni mwa vioongozi kweny hiyo lebel siyo kosa some time tupunguzeni mihemuko.......kuhusu kukosa raha izo ni personal feeling huwezi jua kuwa huyu mtu hana raha mpk pale atakaposema mwenyewe
Umeona ulivyo msukule sasa.....Mavoko na Diamond wametoka pamoja na kuna wakati walikuwa level moja wakichuana huku wakifanana mpaka umri.

Ommy Na Ali ni mbigu Na ardhi...Kuanzia ukongwe,umri mpaka kipato.
Na Ali ndio alimtambulisha Ommy kwetu unaikumbuka "NaiNai".!!!?

Na hakuna wakati wowote kwenye huu muziki Ommy alikuwa mshindani wa Ali Kiba.....elewa hapa Na utofautishe.
 
WCB wakiendelea na u ujinga watakua kama kubwa na wanawe,...mambo ya kiswahili Swahili
 
wrong, Mavoko ana aibu saaana by nature halafu si mtu wa kujichanganya sana, sasa show offs za hao vijana hawezi ila si kama ana bifu na Dii.
 
Mavoko alishaanza kupotea kwenye game sio kama yule wa marry me, sasa iweje kusain WCB iwe amepotea wakati ndo anarudi? Sema mavoko sio mtu wa drama wala fujo fujo ndio maana anakuwa tofauti na wenzio ila sio kwamba kuna ugomvi.

Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
 
Unachosema ni sahihi kabisa, Richard alipaswa kuanzisha tample yake, maana uwezo na umaarufu na umri ulikua sawa tu na DAI. Sema sijui Nani alimpa ushauri wa kukata tamaa.
Unataka kusema ww unafanana kiuwezo na kimafanikio na watu wote wa umri wako!!???? Dunia haiendi hivyo unavyofikiria
 
Back
Top Bottom