Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #41
vipi ukhuty mbona unaguna ?Mmmh
Nin usemi mievipi ukhuty mbona unaguna ?
Kumbe sio tatizo langu peke yangu eheee....Mi ukiondoa Rangi Nyeusi na Nyeupe hakuna Rangi nyingine yoyote ninayoijuakweli wanaume mna colour blindness...hiyo ni kijivu mkuu
kawaida yenu hahha...sio ukilema thoughKumbe sio tatizo langu peke yangu eheee....Mi ukiondoa Rangi Nyeusi na Nyeupe hakuna Rangi nyingine yoyote ninayoijua
Anapendaga kuvaa upatiHuyo msichana mbona hajavaa nguo?
Je ww huwo mda wa kusoma hiyo thread nzima na kupata cha kukomenti umeutoa wapiHV huu muda wa kujua Mara wcb sijui kuna hiki Mara kile mnatoa wapi au ndo wanaume ubuyu
Rich mavoko kuwa kwny lebel ya mond ni kosa ila ommy kusainishwa kwny lebel ambayo kiba ni miongoni mwa vioongozi pale ni kawaida tu watu hata hamlioni punguzeni mihemuko.......kuhusu kukosa raha izo ni personal feeling huwezi jua kuwa huyu mtu hana raha mpk pale atakaposema mwenyeweMavoko ni msanii mkubwa sana kuwa chini ya Diamond..
Kama kuna asiyejua hili basi ama ni mnafiki au ana mahaba binafsi tu..
Rich amekosa ile ngekewa tu ila ni 'mkubwa'kuliko yeye anavyojitazama!
Rich mavoko kuwa kwny lebel ya mond ni kosa ila ommy kusainishwa kwny lebel ambayo kiba ni miongoni mwa vioongozi kweny hiyo lebel siyo kosa some time tupunguzeni mihemuko.......kuhusu kukosa raha izo ni personal feeling huwezi jua kuwa huyu mtu hana raha mpk pale atakaposema mwenyeweWakati anakwenda pale tulisema tukaitwa Hater.....Sehemu ambayo alikuwa amefika Mavoko alihitaji awe na Label yake binafsi.
Wakati fulani alikuwa Level Moja na kina Ommy Dimpoz na Diamond ila wenzake wakamuacha nyuma mpaka Leo hii Mavoko anapangiwa style ya kuimba na kina Harmonise.
Bahati mbaya ana mkataba wa miaka 10 pale Wcb huku mashabiki wakimuhitaji Mavoko yule wa Pacha Wangu,Roho yangu,Nina Imani,Marry Me na Follow ni Either arudishe style yake ya zamani au hapotee