Lichi mavoko Ndo nani tuanzie apo kwanz
Me ni raia mwemaWewe ni raia wawapi mkuu? vile unatumia kiswahili
Lich mavoko ni Mtanzania ambae pia ni msanii wa nyimbo za bongofleva maarufu kwa Tanzania
Achana nao mkuu we huwajui watu wa humu?Wewe ni raia wawapi mkuu? vile unatumia kiswahili
Mbona Dozen alivyomuuliza,Je?,wakija na mkataba mpya ambao utakuwa umeuridhia uko tayari kurudi?hakujibu?View attachment 1111892Nmefuatilia mahojiano yaliofanyika Cloudfm katika kipindi cha XXL mavoko aliongea kuusu tetesi zinazo zagaa mitandaoni zinazo sema kua kaomba msamaha arudi kwenye lebo yake ya zamani W
Adam mchomvu alimuuliza lich mavoko kwamba, kitaani na mitandaoni kumekua na tetesi za jamaa kutaka kuludi kwenye lebo yake ya zamani
Mavoko alijibu hakuna kitu kama hicho na kuongezea kwamba ni heri kubakia na nguo iliochanika kuliko kubakia tumbo wazi.
We unatujuaAchana nao mkuu we huwajui watu wa humu?
YapKumbe wewe ni gazeti
Kwa hiyo wew ndo unaifufuaWatu kama hawa ndio wanaiua jf