Umeona enh, ndo maana nakupenda manake kila nilipo upo, na ulipo nipo!! Rich Mavoko anajua, sana tu kiasi kwamba hadi watu wakamtabiria angechukuwa crown ya Diamond! Hawa watabiri walishindwa kufahamu kwamba, Diamond mwenyewe anaifahamu sana tasnia ya muziki; na watu waliomzunguka wanaifahamu sana tasnia ya muziki! Mtu wa aina hii kumshusha ni ngumu hata kama ni average, na ndio maana Diamond ameanza kutabiriwa kuporomoka zaidi ya miaka 5 iliyopita lakini bado yupo pale pale! Si kwa sababu ni mkali sana kuliko wengine, bali kwa sababu yeye na watu wanaomzunguka wanaifahamu tasnia ya muziki inataka nini! Rich Mavoko ni mkali sana, tena pengine kuliko Diamond lakini haijui tasnia ya muziki ambayo ndilo kapu la wadau wote wa muziki; kuanzia mashabiki, biashara ya muziki, makampuni yanayotoa endorsement n.k!Sijui kuhusu Richi ila hapo kwa Nandy na Ruby umegonga penyewe mpenzi
Sent using Jamii Forums mobile app