umeambiwa anashindana na nani?kwa hiyo aache kufanya mziki eti kwa kua dimond anafAnya mziki
rich mavoko anajua ila tatizo ni muonekano ndo unamuangusha!...kwa kuimba dogo yupo vizuri kama barnba ila ze appearance is ze problem......game ya kibongo kujua peke yake hakutoshi na ndo maana kuna watu wa kawaida sana ila mionekano inawanyanyua sana!...for example IZZO B!.......hayupo tight sana lakini appearnace inamnyanyua!LINEX anajua sana ila muonekano unamuangusha!....GODZILA anachana kinyamwezi ila muonekano wa kishamba sana

Mhhh promo sawa vp management yake ni nan maana hajaanza jana ni muda na anautunz mzuri lakin shangaa tunzo zote kapewa Domo sijui utaratibu ukoje
Alaf kuna sauti ya the king kwa mbaaaaaali,ni hatari hatari.
Sent from my radio
Mkuu huyu dogo meneja wake anaitwa maneno,jamaa hajui kaz ya umeneja zaid ya kuwa muongeaj sana,.