Rich Mavoko vipi huko kwenu?

Rich Mavoko vipi huko kwenu?

umeambiwa anashindana na nani?kwa hiyo aache kufanya mziki eti kwa kua dimond anafAnya mziki

hebu waulize kabla daimond hajatoka nakshnaksh mrembo ilikikua inachuana na nani
sijui wakoje hawa watu
 
rich mavoko anajua ila tatizo ni muonekano ndo unamuangusha!...kwa kuimba dogo yupo vizuri kama barnba ila ze appearance is ze problem......game ya kibongo kujua peke yake hakutoshi na ndo maana kuna watu wa kawaida sana ila mionekano inawanyanyua sana!...for example IZZO B!.......hayupo tight sana lakini appearnace inamnyanyua!LINEX anajua sana ila muonekano unamuangusha!....GODZILA anachana kinyamwezi ila muonekano wa kishamba sana
 
zillah si wa huko huko Dar?
 
Video+audio kali sana,namkubali mavoko mtoto wa mwalimu...anatumia lugha safi kwenye utunzi wake hii ndio sababu kuu inayonifanya nimkubali sana jamaa..Adam Juma kaitendea haki video nimefurahi maana nilichoshwa na kelele za Adam kaisha ki director....
 
rich mavoko anajua ila tatizo ni muonekano ndo unamuangusha!...kwa kuimba dogo yupo vizuri kama barnba ila ze appearance is ze problem......game ya kibongo kujua peke yake hakutoshi na ndo maana kuna watu wa kawaida sana ila mionekano inawanyanyua sana!...for example IZZO B!.......hayupo tight sana lakini appearnace inamnyanyua!LINEX anajua sana ila muonekano unamuangusha!....GODZILA anachana kinyamwezi ila muonekano wa kishamba sana

Ha haaaaa!
 
Kama mwonekano yule jamaa aliye imba mama nitilie ft at na ray c angekuwa juu sana Bob mavoko ni mkareeeee Tu ukweli unabaki hapo
 
Alaf kuna sauti ya the king kwa mbaaaaaali,ni hatari hatari.

Sent from my radio
 
Mhhh promo sawa vp management yake ni nan maana hajaanza jana ni muda na anautunz mzuri lakin shangaa tunzo zote kapewa Domo sijui utaratibu ukoje

Mkuu huyu dogo meneja wake anaitwa maneno,jamaa hajui kaz ya umeneja zaid ya kuwa muongeaj sana,.
 
Dah kweli kwenye miti hakuna wajenzi ona nafasi aliyo wekwa mtu kama Dimpozz au vanesa alafu mtu makin na mwenye kipaji anaendelea kuwa palepale kwa stail hii huenda akafika mbali kwa kuchoka sna
 
Back
Top Bottom