Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Pamoja na Kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya kuwataka viongozi wa kuteuliwa kuridhika na vyeo vyao , lakini taarifa za leo kutoka EA TV zinadokeza kwamba Mkuu wa Wilaya ya Iringa Ndugu Richard Kasesela ametangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kawe la Jijini Dar es Salaam.
Kwa kipindi cha miaka 10 jimbo hilo limeongozwa na Mbunge wa Chadema Mh Halima Mdee ambaye amepachikwa jina jipya la " MBUYU "
Swali ni Je Kasesela ataweza kuung'oa Mbuyu au anatafuta njia ya kuukimbia U-DC ili kukwepa kutumwatumwa?
===
Richard Kasesela alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa kuanzia 2015 hadi 2020, Pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya na Kamanda na Vijana Wilaya, UVCCM tangu 2012
Amekuwa ni Mwenyekiti wa PABC Kwa miaka 12, na kwa miaka 13 alikuwa ni MD wa ID Cards Solution Tanzania Ltd, Pia alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri wa Migodi kwa miaka 3
Kielimu, Richard Kasesela ana MBA ya Masoko aliyoipata UDSM, Pia ana shahada ya kwanza ya Sanaa ktk Uchumi aliyoipata UDSM.