Uchaguzi 2020 Richard Kasesela ajitosa kuutaka Ubunge wa Jimbo la Kawe

Hivi kuna haja gani ya mtu kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa wizara halafu ndani ya mwaka mmoja au miwili akataka kugombea ubunge? Mtu anakuwa mkuu wa mkoa halafu miezi sita ijayo kashatangaza nia kugombea ubunge, hivi haturidhiki jamani? Mambo mengine JPM yuko sahihi. Wakate tu
 
Kasesela ana tamaa sana, yani hajaridhika na U-dc?
Sasa jina lake litakatwa na mwenyekiti, maana hii ni dharau sasa, insurbodination kwa Rais wetu mpendwa JPM.
 
Huyu anaweza akawa ameruhusiwa na amepimwa akakiri vigezo vya kwenda kuuangusha mbuyu. Majimbo ambayo yana watu waliojiimarisha sana, ukiona mtu ameamua kwenda pale, ujue siyo yeye!
 
Kasesela angeenda kwao Rungwe.
 
Kawe watuletee mtu heavy weight kama Paskali mayala, Dr Wilborad peter Slaa, Advocate fulani jina kapuni kwa sasa. Yaani mtu mwenye akili timamu, uwezo na ufahamu wa jimbo linahitaji nini.

Halima amezamia kwenye Uanaharakati kama life insurance akiukosa ubunge anazamia kwenye NGO.
 
HUU NI MKAKATI MPYA WA CCM KUHAKIKISHA VIONGOZI WAKISTAAFU SIASA WATAFANYA NINI!? Tetesi zinasema majimbo yaliyoingia matatani kwa kupata wagombea wengi ni mawili:-

1. Kongwa kwa Ndugai (Form 50 tayari zimechukuliwa)

2. Ruangwa kwa Majaliwa (Form 23 tayari zimechukuliwa hadi sasa)

Maana huu ni muda wa mitihani kwa wanasiasa mashuhuri... Lengo ni kujua nje ya Vingora watafanya kazi gani nzuri yenye stahaha vikiondoka kwa kushindwa kwa aibu kubwa


Wakishinda kweli ujana wa kipumbavu wa kutengeneza watu wasiojulikana
 


HII NI HATARI SANA WAKUU?
 
Huyu si alitukataa watu wa daslam kwamba tuna corona na inapaswa tutengwe, how comes anataka kuja kutuongoza sisi sisi watu wenye koronya ambao ni hatarishi kwake..!?
 
Anaitwa mbuyu au UBUYU!?
 
Kabisa. Siku Kasesera akichukua fomu basi JPM anatangaza mkuu mpya wa wilaya
Huo ndio utaratibu, hakuna jipya. Kwani lazima ajiuzuru nafasi aliyo nayo ili ajitose kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge au Urais au Udiwani. Huo ndio utaratibu, hivyo hawezi kuondoka na hiyo nafasi yake ibaki wazi, NO! Lazima ijazwe.
 
Huo ndio utaratibu, hakuna jipya. Kwani lazima ajiuzuru nafasi aliyo nayo ili ajitose kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge au Urais au Udiwani. Huo ndio utaratibu, hivyo hawezi kuondoka na hiyo nafasi yake ibaki wazi, NO! Lazima ijazwe.
Na ndio maelekezo ya mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…