Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?

Sure ni kweli kuwa jamaa hana mauchafu kama wengine sema achukue hatua mapema asiundiwe zengwe mapema
Ikiwa hili ndilo walilolipata baada ya kutafuta ya kumchafua Majaliwa inamaanisha Majaliwa ni msafi sana!
 
Mkuu unaonaje kama atawatimua wote waliopitisha hili na waliomba hili na yale magari yauzwe tununue madawati ya form one ili ajisafishe badala ya kusubiria tume ya uchunguzi inayopoteza muda bure na magari yanazidi kuchakaa (depreciation )
Labda yauzew kwa bei ya ubuyu nani atanunua hilo VX let say milioni 300 ambapo hiyo ni bei baada ya kutoa uchakavu? maana atakayenunua maana yake kaitangazia TRA kuwa ana pesa sasa we unafikiri nani anataka kujianika kwa TRA hii iliyopewa target ya 2 Trilioni kwa mwezi?
 
Sure ni kweli kuwa jamaa hana mauchafu kama wengine sema achukue hatua mapema asiundiwe zengwe mapema
Kama ni kiongozi anayependa kuwajibika si ajiuzulu kuonesha kuwa kateleza na kwa hiyo kawajibika? maana after all ataendelea pata mafao yake mpaka anakufa, lakini kingine ataingia kwa historia ya kuheshimika kuwa aliwajibika, kuliko adelay halafu jiwe aje amle kichwa, maana kumbuka jiwe hana undugu sana na wateule wake na siasa za kiafrika ni siasa za kutafuta mtaji wa wananchi hata ikiwa kwa mbinu chafu so jiwe akiona atapata political mileage sekunde tu anamla kichwa anateua mwingine.
 
... jengeni mifumo imara acheni kujenga personalities! Zile VX-R V8 T CCM 2020 zilizofunika nchi nzima kwa maelfu ziliidhinishwa na nani? Ni mali ya CCM? Zinafanya nini kwa sasa? Kama kuna kipindi ubadhirifu wa kutisha umewahi kufanyika nchi hii ...
Watu hawajui awamu hii hakuna mwenye uwezo wa kutoa maamuzi yeyote Yale hasahasa yanayohusu manunuzi makubwa zaidi ya Zanzimana mwenyewe be aware of the scape goat .
 
DED anahujumu uchumi utaombaje kitu ambacho unajua ni haramu kwako ? VXR unajua sio hadhi yako kuwa nayo ww ukaomba hili ni kosa, alie idhinisha unaweza kuta alipewa Document ambazo ziko general na vitu vingi akapitisha kumbe kuna mzoga ndani yake
Huko ndiyo kukosa ufanisi Kama ndiyo hivi hata mikataba mingi yakutuumiza wanaingia hovyohovyo tu
 
Pale ofisi ya pm kuna shida sana na yule DED namuona chenga sana sisi hatuhitaji kujua mambo ya PPRA tunahijo kiwango cha pesa hivi anafikiri shida ni magari tu
Mnatekeleza kwa vitendo? Mitano tenaaaa. Hahaha mchakato wa manunuzi ya umma unafahamika kama ulifuatwa halafu mtu anahoji matokeo anayehoji matokeo yake ndiyo mwenye Shida. Nchi hii watu hawataki mchakato/ process wanataka matokeo.
Ndege za Tanzania zilinunuliwa kwa kufuata mchakato gani wa wazi??? Zipitishwa na bunge? Wanaohoji mashangingi leo ndiyo wanaotubeza na kutuita majina mabaya kama vile cc siyo raiya kisa ndege ziliagizwa na mchumi mkuu wa taifa? Raisi.ndege ilikuwa sawa kwakuwa aliagiza yeye ! Gari ya Ded Geita ni Shida kwakuwa siyo yeye? Hata ndege zilinunuliwa bila kufuata utaratibu na wananchi walikuwa na mahitaji muhimu kama maji, shule na zahanati kutaja machache.
Msitupigie kelele ati mbio za uraisi 2025
 
ushauri mzuri ni KUYACHUKUA ma V8 hayo mapya wapewe mawaziri wanazunguka nchi nzima mkurugenzi apewe prado OVA
 
Mbowe chama kimetoka wabunge 100 mpaka mbunge 1 na bado hajajihuzuru, alafu unakuja kutoka povu hapa kumtaka majaliwa ajihuzuru??

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
watanzania tuna mambo ya ajabu sana!! yaaani vichwa vyetu vimejaaaa Majungu na Fitina tu!! hakuna kingine kazi kufitiniana na kupigana majungu!! kulikoni hiii tabia kushamiri kila mahala?! tatizo ni elimu ndogo au?
unakuta mtu mchapa kazi mzuri lkn wapo wengine wana muonea wivu kisa anaweza kufika mbali! sasa na wewe siupige kazi ili ufike mbali kuliko kukoroga majungu!?
watanzania wenzangu tubadilike tumsaport mtu anaye fanya kasi kwa bidii na kwa maslahi ya watzania tusimkatishe tamaaa.
 
Kama tukiita koleo koleo hachomoki.
 
PM anaingiaje hapo,tamisemi ni ofisi ya raisi
 
Small fractures are the ones known to be giving the worst kind of pain and experiences! They tend to last longer hence they manage to be among the unforgettables!

Ili kidonda kipone, dawa lazima ipite kidonda kilipoanzia!
 
Ni kweli ni scandal mbaya sana...kwa kiongozi wa serikali inayojiita ni ya wa wanyonge.
Ila kwasababu Baraza la sasa hivi ni Baraza la marafiki na wataarishwao kwa nyazifa kubwa zaidi, usishangae kuona hili linapita hivi hivi na yule DED aliyetolewa kafara ndio akasahaulika.
 
Pale ofisi ya pm kuna shida sana na yule DED namuona chenga sana sisi hatuhitaji kujua mambo ya PPRA tunahijo kiwango cha pesa hivi anafikiri shida ni magari tu
Hapo ndo huwa nashindwa kuwaelewa, unaposema ofisi ya PM unataka kumtoa PM kwenye sakata au? Sema wazi kama ulivyoanza PM ni tatizo na kiujumla serikali hii itaongoza kwa ufisadi kuliko serikali zote ziliOpita.
 
Mkuu unaonaje kama atawatimua wote waliopitisha hili na waliomba hili na yale magari yauzwe tununue madawati ya form one ili ajisafishe badala ya kusubiria tume ya uchunguzi inayopoteza muda bure na magari yanazidi kuchakaa (depreciation )
Utapata wapi mteja wa 400m wa ghafla. Gari ikitoka kiwandani tu inaanza kupata depreciation effect na bei yake inashuka kuanzia hapo. Halafu kuwaondoa wasaidizi waluosaini siyo kuwajibika, mbona wengine wanawajibika kwa makosa ya wadogo? Yeye ni nani asiwajibike?
 
Huko ndiyo kukosa ufanisi Kama ndiyo hivi hata mikataba mingi yakutuumiza wanaingia hovyohovyo tu
Hawa fisi wamekula mbuzi wameisha sasa wameanza kulana wao kwa wao, koo tuwangalie maana alisema 2B kwa mwezi
 
Watu wanasaka madaraka na kuchafuana badala ya kutafuta ichumi imara wa nchi yetu
 
Hela za vijiji 8 imenunua gari 1 kwa ajili ya Mtu mmoja...!! Sifa Sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…