Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?


Tangia 2016 wizara ya Tamisemi ilihamishwa kutoka ofisi ya waziri Mkuu na kupelekwa Ofisi ya Rais
Waziri Mkuu alibaki na Uratibu,bunge na sera pamoja na uwekezaji ambao nao umehamishiwa Ofisi ya Rais
Hayo matumizi ya V8-X kwa wakurugenzi sidhani kama PM anahusika
Ndo mana wakati wa uapishwaji mawaziri, Mh. Rais alimdirect Waziri Jaffo na sio PM.
 
Mfano hauendani, labda ungesema mwalimu X anaomba ED, second Master akamruhusu halafu huyo mwalimu X katumia hiyo ED kupiga mishe zake. Huwezi kusema kwamba second master ndo anamakosa. Mwenye makosa ni huyo aliyeomba
 
unauhakika?
 
Kweli sana,uchaguzi mkuu 2020 ni siri kubwa kila mtu yupo kimya!
 
Hivi PM naye kwa nini asiwe ngangari kwamba huo ni utaratibu wa Serikali kuwa na magari mazuri? Naye amejichanganya tu kwa nini hakukomaa tangu mwanzo kwamba hakuna wa kumwajibisha mtu maana ni sera ya serikali kuu.
Na ndio imezoeleka Serikali kuwa na magari mazuri,kuanzia ngazi za juu kila mtu anatumia gari jipya na zuri.
 
Kumbe tra wanafanya kwa hisia tu
 
Maombi yalipitishwa kama rushwa kwa sababu ya kukabiliwa na uchaguzi.
Baada ya uchaguzi aliyepitisha haoni tena ule umuhimu wa kupitisha uliokuwepo kwa wakati ule.
 
Namuona Sasa Hivi Sungura Akimfukuza Simba, Tembo, Chui, Kiboko Na Wengine Kwa Kasi Kubwa Sana!!
Muungwana Akivuliwa Nguo Huchutama,
😶😑😐🤨🤔😎😙😗😗😏😏🙄😶
 
Maombi yalipitishwa kama rushwa kwa sababu ya kukabiliwa na uchaguzi.
Baada ya uchaguzi aliyepitisha haoni tena ule umuhimu wa kupitisha uliokuwepo kwa wakati ule.
Waziri mkuu hakuhusishwa kwa hili alikuwa kwenye kampein
 
Nimecheka kwa nguvu, eti jiwe ndio ana ushawishi. Mtu mwenye ushawishi hawezi kunajisi box la kura.
 
Ila kwasababu Baraza la sasa hivi ni Baraza la marafiki na wataarishwao kwa nyazifa kubwa zaidi, usishangae kuona hili linapita hivi hivi na yule DED aliyetolewa kafara ndio akasahaulika.
Kabisa yaani.
 
Hili liko wazi kabisa.. Zengwe linapikwa.
 
Mfano wako sijui kama ni relevant, kwa mujibu wa mkurugenzi wa Geita hizo pesa ni makusanyo yao ya ndani. Sio kwamba wamepewana baba wa familia, swala linabaki palepale hata kama ni makusanyo ya ndani ndio wazipangie matumizi makubwa kiasi hicho, bila kuangalia wapi kuna mahitaji zaidi?
 
Ajihuzulu kwa manufaa ya UMMA.OVA.
 
Hii ngoma sio sindimba wala mdundiko kuicheza lazima uicheze kisebene ingawa sio kaswida. Hii ngoma inaitwa "bughoboghobo" wale wa kule mtakuwa mmenifahamu. Come 2025
Aiseeeh imenifurahisha na umenikumbusha mbali sana kijana, "bughoboghobo" 😂
 
Wana JF niwaambie tu kama mnadhani na PM anadhani aliowataja ndo hao tu anakosea.... Kuna wimbi liliibuka la wakurugenzi kutambishiana haya madude kwahiyo kuna magari mengi ya aina hii yameshaagizwa na mengine yapo njiani yanakuja PM CHUKUA HATUA ZA HARAKA KWA HILI..

MIMI NIMESEMA NA MIMI NIMEMALIZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…