Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

Kuna kipindi alienda sijui Malawi ile au Zambia vijijini huko akiwa kwenye gari akawa anagawa pesa kwa wanakijiji yaan hata hawamjui wengine walipokea ila Wanawake walikataa na Watoto wengine walikimbia mbio ndefu,

Kuna jamaa kinyozi aliweka picha yake kwenye salun yake alimtambua ila hakuamini kama ni yeye kweli akapewa vibunda vya kutosha
 
Alikuwa ana issue gani huko Malawi vijijini?
 

[emoji23][emoji23][emoji23] jana niliona video kuna yule actor wa marvel anaitwa Chris pratt alikuwa na mtangazaji wanazunguka kuwauliza watu wanamjua yeye nani watu hawamjui mara waseme chriss evans [emoji23][emoji23][emoji23] ila hakuna alomjua nilicheka sana. Akazunguka na lupita pia mtu anaulizwa unamjua huyu hawamjui nilicheka sana
Mpaka unajiuliza watu wengine hawaangalii movie jamani
 
Hahahaha hiyo hutokea niliona pia ya Justin Bieber amekaa na wale homeless wanapiga story hata hawamjui alivyoondoka akawaachia vibunda akasepa,
Paparazzi akaenda kuwauliza kama wanamjua wakasema ni some guy tu.

Wanaweza wakawa wanawajua wakiwa kwenye movies ila ile live unakuta kwanza wanabadilika pili mtu anakua hana ile clue kama anaweza kukutana nae by any chance.
 

Ni kweli ila inachekesha sana unaweza muona lupita ukasema sijui yeye kweli au wanafanana 😂😂😂 unahisi kumuona mtu kwa tv na ujalisia wanakuwa tofauti eti
 
Anaendeleaje sahvi maana mbona kama anadata

Ova
 
Ni kweli ila inachekesha sana unaweza muona lupita ukasema sijui yeye kweli au wanafanana [emoji23][emoji23][emoji23] unahisi kumuona mtu kwa tv na ujalisia wanakuwa tofauti eti
Imagine huna hili wala lile unamuona Lupita pale Msimbazi kariakoo anachagua chagua kacha za Wamasai[emoji3] lazima ujiulize ni yeye au nimemfananisha maana hujadhania kumuona maeneo hayo, ila ungemuona Znz kwenye Sauti za Busara ungemjua kwa haraka isingekusumbua kulingana na mazingira
 

Yaa kweli
 
Ana matatizo gani hajapona uso wake?watu wana maisha mazuri wana pesa na ni maarufu lakin eti bado wana shida tu kazi kweli
Halaf kwanin hawazai na mkewe?
 
Ana matatizo gani hajapona uso wake?watu wana maisha mazuri wana pesa na ni maarufu lakin eti bado wana shida tu kazi kweli
Halaf kwanin hawazai na mkewe?
kuna shutma alipata kuwa sekunde moja wazungu washakuja na hawezi kurudia tena, yani kimoko chali.

mademu waliohojiwa walisema 'he is a selfish lover' yeye hata denda hapigi, ikisimama tu anataka achomeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…