Tuseme kitu kimoja shetani alishachanga karata zake zamani sana katika dini kwahio anajua wapi alishatushika bila ya sisi kuelewa.Baadhi ya Ritual.zilizopo kwenye dini Nyingu sasa hivi zimeingizwa na watu wasiotakiwa Mema Imani..
Dini iliyopo sasa.hivi na dini walioiacha waasisi hailingani hata kidogo..
Wamejitahidi kuibadilisha kwa 100%
Na hata maana ya vitabu vitakatifu wamezibadili ili watu wasielewe Misingi ya Imani ya awali ilivyokuwa..
Akiibuka leo Huyo petro au akija leo hao kina stefano au kina paulo cha kwanza lazma wazimia kuona dini ilivyo..
Jibu ni kwa ufupi ni..
Mila za kishetani na dini zimekuwa infused hivyo kufanya Dini kuwa sawa na Sehemu walizopo wao na ndo maaana hawaoni Tofauti iliyopo.kati ya Dini yao na Dini zilizopo kwani hata Viongozi wa kidini wako nao kwenye inada wanazofanya mafichoni..
Karata imechangwa siku nyingi sana na Alishapoteza watu wote kwa sasa Dini halisi haipo hata moja..T
Tuseme kitu kimoja shetani alishachanga karata zake zamani sana katika dini kwahio anajua wapi alishatushika bila ya sisi kuelewa.
Kuna swali tuliwahi kuiiuliza mimi na best angu kuwa kama shetani aliweza kuishawishi theluthi ya malaika mbinguni na wakamuasi MUNGU mkuu, je atashindwa vipi kuwapoteza binadam kupitia maandiko ?
Yeah Uko sawa kabisa walikuwa wanamuabudu shetani Through Black ritual na black magic lakini wakahama kutoka huko na kuwa White magician na ndo maana anasema "All white mansion Im the child of God"Dhima ya hii nyimbo ni nini? kwamba jay z na rick ross walikuwa wanamuabudu shetani? Pesa na mali walizopata hazikuwa kitu ndio maana rick ross anasema “Black diamonds things were hard”
Yeah Na hiyo jesus Piece ilirithishwa kutoka kwa Wallace baba yake na Christopher wallace (B.I.G) mpaka kwa Jayz..Ukitizama kwa upeo wako unaona hawa jamaa wanaabudu nini au wanatumia nini kama back-up kwenye mafanikio yao? Maana naona jay-z anaongelea jesus pieces kama ritual kwenye hustle zake
Rick anaposema "All white mansion I am the child of God"...Pia rick ross anasema “all-white mansions i am the child of God”
Ni kwamba wanamuabudu Mungu na huyu yesu yupo kweli?
Jamaa anachanganya habari tuUnajua maana ya wimbo?
"...Matusi ya kazi gani? Kulikuwa na ulazima upi kuni quote?then unatumia lugha ya Matusi, we unadhani mi siwezi kukujibu tusi kubwa kuliko hayo? Next time pita kimya kimya , you're a man , ji position "Hujaelewa wimbo na kiingereza mavi chako
Ukiachive vitu vikubwa hata sasa hv tu uswahilini watasema ww mchawi, hawaamini kwamba binadam ana uwezo mkubwa, wanasahau hata Jacob alipigana na Malaika wa Mungu usiku kucha.
Binadam ana potential sana sababu ni kiumbe pekee chenye mfano wa Mungu.
Huo wimbo ni message kwa wapuuzi wote kama wewe ambao wamekalia kwenda kwa walokole kuomba miujiza badala ya kufanya kazi.
We'll keep building pyramids
Stupid!
Bullshit.Watu weusi wengi wanaangushwa kimziki kwa sababu ya mafremason na kupewa kesi mbalimbali za kuwalawiti watoto wadogo kama R kelly walivyompakazia kesi kwahiyo watu weusi tunabaguliwa sana huu mziki will slow down Freemason
Hizo codes zisiwe za kutunga maana binadamu ni mahiri sana wa kuweka tafsiri zao kwenye kila kitu.Soon nakuja na Tafsiri ya huu wimbo In secrets Code
Hii ndio maana harisi ya wimbo...Hujaelewa wimbo na kiingereza mavi chako
Ukiachive vitu vikubwa hata sasa hv tu uswahilini watasema ww mchawi, hawaamini kwamba binadam ana uwezo mkubwa, wanasahau hata Jacob alipigana na Malaika wa Mungu usiku kucha.
Binadam ana potential sana sababu ni kiumbe pekee chenye mfano wa Mungu.
Huo wimbo ni message kwa wapuuzi wote kama wewe ambao wamekalia kwenda kwa walokole kuomba miujiza badala ya kufanya kazi.
We'll keep building pyramids
Stupid!
You are giving them too much credit. These are just a bunch of niggas talking shit. Hizo tafsiri ni za kwenu tu.Kwa wanaotaka kujua zaidi hawa jamaa
Wasikilize nyimbo Ngingine baada ya hii miaka miwili baadae..
Freemason nyimbo yao ilitoka October 2010
na Devil is A lie ilitoka 2013 Decemver
View attachment 2918742
Nimeshatoa code zote mkuu kama una swali unaweza kuulizaHizo codes zisiwe za kutunga maana binadamu ni mahiri sana wa kuweka tafsiri zao kwenye kila kitu.
Ok sasa Sikiliza Mkuu nakupa Verse ya Jayz kwenye Nyimbo ya Devil is a Lie..You are giving them too much credit. These are just a bunch of niggas talking shit. Hizo tafsiri ni za kwenu tu.
Nimeziona Mkuu. Kama nilivyosema ni suala la tafsiri tu, anaweza kuja mwingine na kutafsiri tofauti kabisa na wewe.Nimeshatoa code zote mkuu kama una swali unaweza kuuliza
Mbona kila kitu kiko wazi. Usichoelewa nini hapo?Ok sasa Sikiliza Mkuu nakupa Verse ya Jayz kwenye Nyimbo ya Devil is a Lie..
[Verse 3: Jay Z]
Is it truth or it's fiction, is it truth or it's fiction?
Is Hova atheist? I never JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala with True Religion
Am I down with the devil 'cause my roof come up missin?
Is that Lucifer juice in that two cup he sippin'?
That's D'usse baby welcome to the dark side
Coulda got blacklist for the crack shit
White Jesus in my crock pot
I mix the shit with some soda
Now I'm black Jesus turn water to wine
And all I had to do was turn the stove up
Beast Coast, winnin' at life, nigga, cheat code
The hatin' is flagrant, hit your free throws
The devil try to hit me with the RICO, them black people
Devil want these niggas hate they own kind
Gotta be lluminati if a nigga shine
Oh we can't be a nigga if a nigga rich?
Oh we gotta be the devil that's some nigga shit
You seen what I did to the stop and frisk
Brooklyn on the Barney's like we own the bitch
Give the money to the hood, now we all wir
Got that Barney's floor lookin' like a VIM
Black hoodie, black skully
Bravado like Mavado, boy l'm that gully
Gettin white money but l'm still black
All these niggas claiming king but l'm still that
King Hova, Mansa Musa
From a lie, the devil is a lie, I'm the truth, yeah
Sasa unajua maana yake...
Tafsiri hiyo ilikuj baada ya nyimbo yao iliyojibu Nyimbo ya Freemason Ya Devil is a lie kama ungesikiliza sehemu ya Jayz na kama ungesikiliza..Nimeziona Mkuu. Kama nilivyosema ni suala la tafsiri tu, anaweza kuja mwingine na kutafsiri tofauti kabisa na wewe.
Kipo wazi kwambaMbona kila kitu kiko wazi. Usichoelewa nini hapo?
Kipo wazi kwamba
Yeah walirudi tenaila naamini bado hawa jamaa wako kwenye u member huo