vanus
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 1,151
- 2,896
Dhima ya hii nyimbo ni nini? kwamba jay z na rick ross walikuwa wanamuabudu shetani? Pesa na mali walizopata hazikuwa kitu ndio maana rick ross anasema “Black diamonds things were hard”
Ukitizama kwa upeo wako unaona hawa jamaa wanaabudu nini au wanatumia nini kama back-up kwenye mafanikio yao? Maana naona jay-z anaongelea jesus pieces kama ritual kwenye hustle zake
Pia rick ross anasema “all-white mansions i am the child of God”
Ni kwamba wanamuabudu Mungu na huyu yesu yupo kweli?