Rick Ross Featuring Jay-Z & John Legend-FREEMASON

Rick Ross Featuring Jay-Z & John Legend-FREEMASON

Dhima ya hii nyimbo ni nini? kwamba jay z na rick ross walikuwa wanamuabudu shetani? Pesa na mali walizopata hazikuwa kitu ndio maana rick ross anasema “Black diamonds things were hard”

Ukitizama kwa upeo wako unaona hawa jamaa wanaabudu nini au wanatumia nini kama back-up kwenye mafanikio yao? Maana naona jay-z anaongelea jesus pieces kama ritual kwenye hustle zake

Pia rick ross anasema “all-white mansions i am the child of God”

Ni kwamba wanamuabudu Mungu na huyu yesu yupo kweli?
 
Niggas Selling their souls to satanic music studios & labels
Ndio maana wengi wakiachana na hizo music labels and studios wanakuwa wehu tu na kufirisika Tu au kuishia nyuma ya NONDO
Satanists rule US Internainment industry

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
T
Baadhi ya Ritual.zilizopo kwenye dini Nyingu sasa hivi zimeingizwa na watu wasiotakiwa Mema Imani..
Dini iliyopo sasa.hivi na dini walioiacha waasisi hailingani hata kidogo..
Wamejitahidi kuibadilisha kwa 100%
Na hata maana ya vitabu vitakatifu wamezibadili ili watu wasielewe Misingi ya Imani ya awali ilivyokuwa..

Akiibuka leo Huyo petro au akija leo hao kina stefano au kina paulo cha kwanza lazma wazimia kuona dini ilivyo..

Jibu ni kwa ufupi ni..
Mila za kishetani na dini zimekuwa infused hivyo kufanya Dini kuwa sawa na Sehemu walizopo wao na ndo maaana hawaoni Tofauti iliyopo.kati ya Dini yao na Dini zilizopo kwani hata Viongozi wa kidini wako nao kwenye inada wanazofanya mafichoni..
Tuseme kitu kimoja shetani alishachanga karata zake zamani sana katika dini kwahio anajua wapi alishatushika bila ya sisi kuelewa.

Kuna swali tuliwahi kuiiuliza mimi na best angu kuwa kama shetani aliweza kuishawishi theluthi ya malaika mbinguni na wakamuasi MUNGU mkuu, je atashindwa vipi kuwapoteza binadam kupitia maandiko ?
 
Karata imechangwa siku nyingi sana na Alishapoteza watu wote kwa sasa Dini halisi haipo hata moja..
Zote zimeingizwa mikono
 
Dhima ya hii nyimbo ni nini? kwamba jay z na rick ross walikuwa wanamuabudu shetani? Pesa na mali walizopata hazikuwa kitu ndio maana rick ross anasema “Black diamonds things were hard”
Yeah Uko sawa kabisa walikuwa wanamuabudu shetani Through Black ritual na black magic lakini wakahama kutoka huko na kuwa White magician na ndo maana anasema "All white mansion Im the child of God"

Anawaambia Ama kuwataarifu wote walio kwemye black lodge kuwa sasa kashabadilika..

Kuna nyimbo baada ya hii waliimba inaitwa "The Devil Is A Lie"

Utaelewa nachosema
Ukitizama kwa upeo wako unaona hawa jamaa wanaabudu nini au wanatumia nini kama back-up kwenye mafanikio yao? Maana naona jay-z anaongelea jesus pieces kama ritual kwenye hustle zake
Yeah Na hiyo jesus Piece ilirithishwa kutoka kwa Wallace baba yake na Christopher wallace (B.I.G) mpaka kwa Jayz..

Na wallace inasemekana alikuwa rosecrucian (Secret society)
Pia rick ross anasema “all-white mansions i am the child of God”

Ni kwamba wanamuabudu Mungu na huyu yesu yupo kweli?
Rick anaposema "All white mansion I am the child of God"...

White mansion=white lodge=White Magician=Pure spirituality

Anajitangaza kuacha kumuabudu shetani na kuamua kuanza kuwa Spirituality rasmi..

Tafuta nyimbo yao iliyofuata inaitwa "The Devil is a Lie"
 
Hujaelewa wimbo na kiingereza mavi chako

Ukiachive vitu vikubwa hata sasa hv tu uswahilini watasema ww mchawi, hawaamini kwamba binadam ana uwezo mkubwa, wanasahau hata Jacob alipigana na Malaika wa Mungu usiku kucha.

Binadam ana potential sana sababu ni kiumbe pekee chenye mfano wa Mungu.

Huo wimbo ni message kwa wapuuzi wote kama wewe ambao wamekalia kwenda kwa walokole kuomba miujiza badala ya kufanya kazi.

We'll keep building pyramids

Stupid!
"...Matusi ya kazi gani? Kulikuwa na ulazima upi kuni quote?then unatumia lugha ya Matusi, we unadhani mi siwezi kukujibu tusi kubwa kuliko hayo? Next time pita kimya kimya , you're a man , ji position "
 
Kwa wanaotaka kujua zaidi hawa jamaa
Wasikilize nyimbo Ngingine baada ya hii miaka miwili baadae..

Freemason nyimbo yao ilitoka October 2010
na Devil is A lie ilitoka 2013 Decemver
Screenshot_20240228_085814_Video Player.jpg
 
Hujaelewa wimbo na kiingereza mavi chako

Ukiachive vitu vikubwa hata sasa hv tu uswahilini watasema ww mchawi, hawaamini kwamba binadam ana uwezo mkubwa, wanasahau hata Jacob alipigana na Malaika wa Mungu usiku kucha.

Binadam ana potential sana sababu ni kiumbe pekee chenye mfano wa Mungu.

Huo wimbo ni message kwa wapuuzi wote kama wewe ambao wamekalia kwenda kwa walokole kuomba miujiza badala ya kufanya kazi.

We'll keep building pyramids

Stupid!
Hii ndio maana harisi ya wimbo...
 
Kwa wanaotaka kujua zaidi hawa jamaa
Wasikilize nyimbo Ngingine baada ya hii miaka miwili baadae..

Freemason nyimbo yao ilitoka October 2010
na Devil is A lie ilitoka 2013 Decemver
View attachment 2918742
You are giving them too much credit. These are just a bunch of niggas talking shit. Hizo tafsiri ni za kwenu tu.
 
You are giving them too much credit. These are just a bunch of niggas talking shit. Hizo tafsiri ni za kwenu tu.
Ok sasa Sikiliza Mkuu nakupa Verse ya Jayz kwenye Nyimbo ya Devil is a Lie..

[Verse 3: Jay Z]
Is it truth or it's fiction, is it truth or it's fiction?
Is Hova atheist? I never fcku with True Religion

Am I down with the devil 'cause my roof come up missin?
Is that Lucifer juice in that two cup he sippin'?

That's D'usse baby welcome to the dark side
Coulda got blacklist for the crack shit

White Jesus in my crock pot
I mix the shit with some soda
Now I'm black Jesus turn water to wine
And all I had to do was turn the stove up
Beast Coast, winnin' at life, nigga, cheat code

The hatin' is flagrant, hit your free throws
The devil try to hit me with the RICO, them black people

Devil want these niggas hate they own kind
Gotta be lluminati if a nigga shine
Oh we can't be a nigga if a nigga rich?
Oh we gotta be the devil that's some nigga shit

You seen what I did to the stop and frisk
Brooklyn on the Barney's like we own the bitch

Give the money to the hood, now we all wir
Got that Barney's floor lookin' like a VIM
Black hoodie, black skully
Bravado like Mavado, boy l'm that gully
Gettin white money but l'm still black
All these niggas claiming king but l'm still that

King Hova, Mansa Musa

From a lie, the devil is a lie, I'm the
truth, yeah

Sasa unajua maana yake...
 
Ok sasa Sikiliza Mkuu nakupa Verse ya Jayz kwenye Nyimbo ya Devil is a Lie..

[Verse 3: Jay Z]
Is it truth or it's fiction, is it truth or it's fiction?
Is Hova atheist? I never JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala with True Religion

Am I down with the devil 'cause my roof come up missin?
Is that Lucifer juice in that two cup he sippin'?

That's D'usse baby welcome to the dark side
Coulda got blacklist for the crack shit

White Jesus in my crock pot
I mix the shit with some soda
Now I'm black Jesus turn water to wine
And all I had to do was turn the stove up
Beast Coast, winnin' at life, nigga, cheat code

The hatin' is flagrant, hit your free throws
The devil try to hit me with the RICO, them black people

Devil want these niggas hate they own kind
Gotta be lluminati if a nigga shine
Oh we can't be a nigga if a nigga rich?
Oh we gotta be the devil that's some nigga shit

You seen what I did to the stop and frisk
Brooklyn on the Barney's like we own the bitch

Give the money to the hood, now we all wir
Got that Barney's floor lookin' like a VIM
Black hoodie, black skully
Bravado like Mavado, boy l'm that gully
Gettin white money but l'm still black
All these niggas claiming king but l'm still that

King Hova, Mansa Musa

From a lie, the devil is a lie, I'm the
truth, yeah

Sasa unajua maana yake...
Mbona kila kitu kiko wazi. Usichoelewa nini hapo?
 
Nimeziona Mkuu. Kama nilivyosema ni suala la tafsiri tu, anaweza kuja mwingine na kutafsiri tofauti kabisa na wewe.
Tafsiri hiyo ilikuj baada ya nyimbo yao iliyojibu Nyimbo ya Freemason Ya Devil is a lie kama ungesikiliza sehemu ya Jayz na kama ungesikiliza..
Wote jayz na Rick rose walitamka neno RCO ..
Au RICO hii kwa Spiritiuality zote humaanisha Recreation and Conservation
 
Back
Top Bottom