Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
walitishwa na majamaa nini, mana wale wanakula kichwa ukizingua.Yeah walirudi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walitishwa na majamaa nini, mana wale wanakula kichwa ukizingua.Yeah walirudi tena
Yeah walirudi tena
Mkuu tupe tafsiri ya jay-z hapo kwenye devil is a lie, achana na hao wadandia uzi hawajui chochote.Kipo wazi kwamba
Acha upuuzi"...Matusi ya kazi gani? Kulikuwa na ulazima upi kuni quote?then unatumia lugha ya Matusi, we unadhani mi siwezi kukujibu tusi kubwa kuliko hayo? Next time pita kimya kimya , you're a man , ji position "
Usichoelewa ni nini kwenye hizo lines? Tatizo mnataka kulazimisha kwamba kila kitu ni encryption. Sometimes they are just literal.Kipo wazi kwamba
Tunakusubiri baba Mercy.Soon nakuja na Tafsiri ya huu wimbo In secrets Code
Nimeshamaliza Vishu mkuu😆😆Tunakusubiri baba Mercy.
Ok mkuu..Usichoelewa ni nini kwenye hizo lines? Tatizo mnataka kulazimisha kwamba kila kitu ni encryption. Sometimes they are just literal.
Ahsante kwa ufafanuzi, nimekuelewa na nimefuta wimbo pia maana nilikuwaga najua ni wimbo wa kutuhamasisha mahustlers kumbe wanasifia jamii zinazopingana na Mungu MkuuNimeshamaliza Vishu mkuu😆😆
Huelewi hata single line and yet you cracked the "coded messages" on the other song. Funny.Ok mkuu..
Hebu nipe Literal meaning ya wimbo..
Mimi sielewei even a single linez:
Diamond yuko kwenye Black Lodge na rolls royce yake"All white mansion, i'm the child of God.
All black diamonds, time were hard.
New Rolls Royce guess you made it nigga
All-white neighborhood, you they favourite nigga"
Kwenye Spirituality kuna Vitu viwili vikubwa kuna White Magician na Black magician au kwa lugha Rahisi wanasema Black lodge na White Lodge..
Black lodge ni wale wanaotumia Maarifa wanayopta kwa kuumiza wenzio humo utakuta kuna wachawi na watu wengine kama secret societies nyingi "Ku klux klan na Templar na wengine kibao ambao wanafanya uovu kutokana na kujua Siri za vitu wakisema wanavilinda au kutaka watu wasivijue..
Sasa inavyoonekana Rick rose aliangukia kwenye Illumination ya Black magician..
Na hapo anawataarifu watu wa white lodge kwamba amerudi kwenye wema..
Kwa kusema "all white mansion,I am the child of God' badala ya kusema all white lodge akatumia white mansion..
Sasa anarudi tena kuwaambia wale Black magic ama black lodge kuwa "All black Diamond Time were hard"
Anawaambia black lodge kuwa pamoja na kuwa kulikuwa na furaha na utajiri mambo yalikuwa magumu kwa upande wake..
Ndo hiyo all black diamond time were hard...
sasa anawageukia wale waliobaki Anawaambia "New Rolls Royce guess you made it nigga?"
Kwamba umepata Rolls royce ndo unafikiri maisha umeyapatia?
Dah 😅😅Diamond yuko kwenye Black Lodge na rolls royce yake
Mariam Magdalena kwenye Biblia yangu yumorick alipotea sana,umaarufu ni kazi pia imani ya kweli ni uislamu tu..ukiangalia wakristo magdalena wamemtoa kweny vitab vyao wkt ni mjumbe pia.