Rick Ross yuko makini sana na afya yake

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake.

Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga.

Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
 
Hamisaaa..sasa kulikuwa na haja or ulazima gani wa kujianika hadharani kuwa ametoka na Rick Ross?

Anafikiri ndio ataongeza umaarufu?au ndio kujitangaza kimataifa?au ndio kutafuta kuolewa USA?

Yule kijana wa watu wa Vunja bei mbona alikuwa chaguo sahihi kabisa kwake,ukizingatia ameshazalishwa Mara mbili Majizzo na Chibu.

Ukipata mwanaume anaekubali kubeba mizigo ya wanaume wenzie ni wa kumng'ang'ania kama kupe.

Amemuacha kijana wa watu anaenda kudanga na mijitu isiyoeleweka,hivi hajui kuwa umri unakimbia kama yule mwanariadha wa Kenya kipchoege??
 
KILA MMOJA ANAFANYA ANALOONA LINAFAA KWAKE ILA TU ASIVUNJE SHERIA
 

Duh amekuuma kweli huyo Demu kwa jinsi ulivyomuasa siyo kawaida labda atakusikiliza na kufanyia kazi ushauri wako, hakika unajua kujali sana …
 
Hawa ni watu wajinga Sana.
 
Duh, Majizo kumbe ana stakes zake pale?
 
Jokate aliingilia penzi lake, Rich forever naye ni mtu mzuri tu kwa atayemuelewa coz kila kopo na mfuniko wake....sio lazima umuone ni wa maana wewe, mtumiaji akiona kinafaa wengine hawa wapiga kelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…