Rick Ross yuko makini sana na afya yake

Rick Ross yuko makini sana na afya yake

132KVA ya H20_ZO 4SHIZO kwenda kwa Mabeto ni SHida bila Protective Gear Rozay hatoboi.
 
Trump amewahi sema sisi waafrika jambokubwa tunaloweza kubokoana, kuchora kwenye kuta ....mengineyo magumu kwelikwetu....dada kadharauliwa Sana kondom zinaonesha rockrose angekosa kabisa mademu amerika
 
Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake.

Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga.

Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
View attachment 2024415
Kagundua kuwa lile chaka jipya si la kuingia peku peku
 
Trump amewahi sema sisi waafrika jambokubwa tunaloweza kubokoana, kuchora kwenye kuta ....mengineyo magumu kwelikwetu....dada kadharauliwa Sana kondom zinaonesha rockrose angekosa kabisa mademu amerika
Wewe acha kuwa boya mapicha ya zamani hayo.
 
Jamaa anajidai anatumia ndomu, wajanja wanazibeba kama anaenda ukitupa yale nani anajifurumushia Kwame anapata mimba alafu kwa kuwa wameishamwona Nate HM kama kawa anataka child support kutoka marekani
Child support kama hajazalia huyo mtoto USA atapata pesa ya kawaida tu sheria za Tz hakuna msisitizo sana kwenye kuwabana wanaume
 
Hamisaaa..sasa kulikuwa na haja or ulazima gani wa kujianika hadharani kuwa ametoka na Rick Ross?

Anafikiri ndio ataongeza umaarufu?au ndio kujitangaza kimataifa?au ndio kutafuta kuolewa USA?

Yule kijana wa watu wa Vunja bei mbona alikuwa chaguo sahihi kabisa kwake,ukizingatia ameshazalishwa Mara mbili Majizzo na Chibu.

Ukipata mwanaume anaekubali kubeba mizigo ya wanaume wenzie ni wa kumng'ang'ania kama kupe.

Amemuacha kijana wa watu anaenda kudanga na mijitu isiyoeleweka,hivi hajui kuwa umri unakimbia kama yule mwanariadha wa Kenya kipchoege??
@lamisa danish umeona wapi chui wakifugika kirahisi?
Vunja bei amuoe Hamisa?
Kwa kifupi sana, wanaume wanapenda kutoka na malaya wakali lakini huoa wanawake wa kawaida.
Kaa ukijua kuwa ukijua kuwa kuna wanawake wa matumizi na wa kuweka ndani.
Hamisa bado ataitembeza sana huko duniani
 
Hamisaaa..sasa kulikuwa na haja or ulazima gani wa kujianika hadharani kuwa ametoka na Rick Ross?

Anafikiri ndio ataongeza umaarufu?au ndio kujitangaza kimataifa?au ndio kutafuta kuolewa USA?

Yule kijana wa watu wa Vunja bei mbona alikuwa chaguo sahihi kabisa kwake,ukizingatia ameshazalishwa Mara mbili Majizzo na Chibu.

Ukipata mwanaume anaekubali kubeba mizigo ya wanaume wenzie ni wa kumng'ang'ania kama kupe.

Amemuacha kijana wa watu anaenda kudanga na mijitu isiyoeleweka,hivi hajui kuwa umri unakimbia kama yule mwanariadha wa Kenya kipchoege??
Ni kweli sio umemshauri mobeto hata mimi pia,umenishauri asantee
 
Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake.

Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga.

Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
View attachment 2024415
Kweli wanawake hampendani
 
Sio kwamba Rick anajali afya bali yupo kibiashara.
Hilo ni tangazo la condom kwa kampuni husika.
 
Back
Top Bottom