Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

Si mlimwita Ridhiwani tajiri na kila jengo zuri nchi hii ni lake.. Si mlisema Ridhiwani ni Trillionea??

Si mlisema JK na Family walikuwa wanajichotea tu pesa kule Hazina?? Sasa kama walikuwa wanachota pesa tu ilikuwaje Ridhiwani akope benki ya biashara na ashindwe kulipa? Hapa ndipo tunaona wanasiasa walivyo wanafki na waongo..
yote yanawezekana...50/50
 
Awali Rais wangu John Pombe Magufuli aliposema kuwa kuna wanasiasa wanaongea sana ilhali ni wadaiwa sugu kwenye mabenki hakika sikuelewa. Ila kadri siku zinavyoenda, inazidi kudhihiri kuwa hakika maneno ya Rais wetu ni kweli kabisa.

Taarifa rasmi nilizonazo ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa watu waliochangia kufilisika kwa Benki hiyo. Taarifa hizo zinasema kuwa Freeman Mbowe peke yake anadaiwa mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni saba hii ikijumuisha mkopo wenyewe na riba. Taarifa hizo zinasema kuwa kwa sasa Freeman Mbowe anahaha kuhakikisha anapata fedha za kulipa deni hilo ili kunusuru mali anazomiliki.

Taarifa hizo pia zinasema kuwa Halima Mdee alikopa Twiga Bancorp Juni 2011 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Ghorofa mbili ambalo hata hivyo halijafahamika liko wapi. Kwamba, Halima Mdee alikopa shilingi Bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi huo deni ambalo mpaka sasa halijalipwa.

Niwasihi tu wale ndugu zangu wakopaji, dawa ya deni ni kulipa. Basi. Kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya kukwepa ulimbo.
 
Duh safari hii Mh. Mbowe atauza mpaka miwani. Maana Lowasa angekuwa ndiye rais wala tusingesikia hizi habari, na ndiyo maana akina Mbowe walitaka Lowasa awe rais ili wafiche dhambi zao, ila Mungu ni Mwema.
 
Hilo jengo la nini?Shule?Zahanati?Kituo cha polisi au?
 
Ridhiwan huyu ndie yupi wakuu yule mliesema anamiliki masheli na kupitisha mizigo bure bandarini? Sio yule mukiemuita mwana mfalme kwamba yeye na baba ake wameliibia taifa? Kwa utajiei ule kweli wa kudaiwa na vibank uchwara au ndio zilikua propaganda zenu tu Bavicha?
 
Awali Rais wangu John Pombe Magufuli aliposema kuwa kuna wanasiasa wanaongea sana ilhali ni wadaiwa sugu kwenye mabenki hakika sikuelewa. Ila kadri siku zinavyoenda, inazidi kudhihiri kuwa hakika maneno ya Rais wetu ni kweli kabisa.

Taarifa rasmi nilizonazo ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa watu waliochangia kufilisika kwa Benki hiyo. Taarifa hizo zinasema kuwa Freeman Mbowe peke yake anadaiwa mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni saba hii ikijumuisha mkopo wenyewe na riba. Taarifa hizo zinasema kuwa kwa sasa Freeman Mbowe anahaha kuhakikisha anapata fedha za kulipa deni hilo ili kunusuru mali anazomiliki.

Taarifa hizo pia zinasema kuwa Halima Mdee alikopa Twiga Bancorp Juni 2011 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Ghorofa mbili ambalo hata hivyo halijafahamika liko wapi. Kwamba, Halima Mdee alikopa shilingi Bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi huo deni ambalo mpaka sasa halijalipwa.

Niwasihi tu wale ndugu zangu wakopaji, dawa ya deni ni kulipa. Basi. Kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya kukwepa ulimbo.
Watasema mahakama zina shinikizo kutoka juu subiri waje,lakin juzi walivyoshinda rufaa ya Tyson dhidi ya Muheshimiwa Esther Bulaya,walipongeza mahakama hzo hzo!Hivi hawa wagalatia ni nani amewaroga?
 
Yaaaaaan.raha sanaaa.heshima itarudi tuuu.na vile dona sasa hivi limeingia mchangaa mbona rahaa.
 
Awali Rais wangu John Pombe Magufuli aliposema kuwa kuna wanasiasa wanaongea sana ilhali ni wadaiwa sugu kwenye mabenki hakika sikuelewa. Ila kadri siku zinavyoenda, inazidi kudhihiri kuwa hakika maneno ya Rais wetu ni kweli kabisa.

Taarifa rasmi nilizonazo ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa watu waliochangia kufilisika kwa Benki hiyo. Taarifa hizo zinasema kuwa Freeman Mbowe peke yake anadaiwa mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni saba hii ikijumuisha mkopo wenyewe na riba. Taarifa hizo zinasema kuwa kwa sasa Freeman Mbowe anahaha kuhakikisha anapata fedha za kulipa deni hilo ili kunusuru mali anazomiliki.

Taarifa hizo pia zinasema kuwa Halima Mdee alikopa Twiga Bancorp Juni 2011 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Ghorofa mbili ambalo hata hivyo halijafahamika liko wapi. Kwamba, Halima Mdee alikopa shilingi Bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi huo deni ambalo mpaka sasa halijalipwa.

Niwasihi tu wale ndugu zangu wakopaji, dawa ya deni ni kulipa. Basi. Kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya kukwepa ulimbo.
Kwani kudaiwa ni kosa hata wafanya biashara wakubwa wanaidaiwa na ndio mana mabenki yakawepo.
 
Ukweli ni kwamba huwa tubauziana sura na vitu vya mkopo kuna mbunge wa ccm kanda ya ziwa anadaiwa bilioni 10 na ECOBANK bado mda kidogo tuu ataaibika
 
Washugulikiwe tu maana hakuna namna sasa.

Hatuwezi kuendelea kwa kuwachekea watu kama hawa ingawa kudai ni kawaida......

Lakini unaposhindwa kulipa hapo ndipo tunapohoji .......

Magufuli awashugulikie wote bila kuwaangalia usoni......
 
Back
Top Bottom