Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

Ridhiwan huyu ndie yupi wakuu yule mliesema anamiliki masheli na kupitisha mizigo bure bandarini? Sio yule mukiemuita mwana mfalme kwamba yeye na baba ake wameliibia taifa? Kwa utajiei ule kweli wa kudaiwa na vibank uchwara au ndio zilikua propaganda zenu tu Bavicha?
Hakuna bank uchwara, unajua dhamana bank inayoweka BOT, Hawa ni wakopaji wa mabilioni, mtu kama wewe haukawii kusema Bank M ni bank uchwara
 
Siasa na Propaganda Maji taka. Kwani kama bank imemkopesha mtu na ameshindwa kulipa si taratibu za kibank za kurejesha na atuwa za kibank Zipo.
 
Wadaiwa sugu benk ya Twiga Bancorp iliyochukuliwa na BoT wanaendelea kuhenya na kuhenyeshwa mitaani, imefahamika. Watu hawalali, watu hawanywi na watu hawali!

Zipo taarifa nyeti kutoka vyanzo vya uhakika kabisa kuwa mjengo wa Ridhiwan ulioko maeneo ya Sinza Mori huenda ukakumbwa na kimbunga kama dhamana juu ya deni analodaiwa kijana huyo na benki hiyo iliyofilisika hivi karibuni.

Hata hivyo thamani halisi ya jengo hilo bado haijajulikana.
Kweli acha na waisome namba ee


CCM ni ile ileeee Chalinze mnasemajee... tumejipangaa mwaka huu tumejipangaa.. tumejipangaa acha waisome nambaaa....!
Jamani si mlikuwa mnasema benki imefilisika kwa sababu ya uongozi mbaya wa Magufuli?
 
Movie acha iendelee tutasikia mengi ...ongeza hapo juu Na shigongo ha ha ha
 
Huyu alipatikana baada ya kambi mbili kusigana sana (ya mlima korosho na mchunga ng'ombe), na mwishowe kamati kuja kumuondoa mchunga ng'ombe kwa hila. Sasa supporters wa mchunga ng'ombe wakaunganisha nguvu ili mlima korosho akose kama walivyokosa wao, ndipo akapatina huyu. Hakuwa kwenye mahesabu kabisa. Take it from here!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umetisha sana,we n hataree
 
pesa ya shigongo mmeshamlipa au ndo kashapigwa changa kada wenu
 
Back
Top Bottom