myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
yote yanawezekana...50/50Si mlimwita Ridhiwani tajiri na kila jengo zuri nchi hii ni lake.. Si mlisema Ridhiwani ni Trillionea??
Si mlisema JK na Family walikuwa wanajichotea tu pesa kule Hazina?? Sasa kama walikuwa wanachota pesa tu ilikuwaje Ridhiwani akope benki ya biashara na ashindwe kulipa? Hapa ndipo tunaona wanasiasa walivyo wanafki na waongo..
[emoji3][emoji3][emoji3] alikaa karibia masa nane ivDuh kumbe kuisoma namba ni kwa kila mtu, nilisikia hadi mzee wetu mstaafu alishaisoma pale Airport majuzi
Duh safari hii Mh. Mbowe atauza mpaka miwani. Maana Lowasa angekuwa ndiye rais wala tusingesikia hizi habari, na ndiyo maana akina Mbowe walitaka Lowasa awe rais ili wafiche dhambi zao, ila Mungu ni Mwema.Awali Rais wangu John Pombe Magufuli aliposema kuwa kuna wanasiasa wanaongea sana ilhali ni wadaiwa sugu kwenye mabenki hakika sikuelewa. Ila kadri siku zinavyoenda, inazidi kudhihiri kuwa hakika maneno ya Rais wetu ni kweli kabisa.
Taarifa rasmi nilizonazo ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa watu waliochangia kufilisika kwa Benki hiyo. Taarifa hizo zinasema kuwa Freeman Mbowe peke yake anadaiwa mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni saba hii ikijumuisha mkopo wenyewe na riba. Taarifa hizo zinasema kuwa kwa sasa Freeman Mbowe anahaha kuhakikisha anapata fedha za kulipa deni hilo ili kunusuru mali anazomiliki.
Taarifa hizo pia zinasema kuwa Halima Mdee alikopa Twiga Bancorp Juni 2011 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Ghorofa mbili ambalo hata hivyo halijafahamika liko wapi. Kwamba, Halima Mdee alikopa shilingi Bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi huo deni ambalo mpaka sasa halijalipwa.
Niwasihi tu wale ndugu zangu wakopaji, dawa ya deni ni kulipa. Basi. Kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya kukwepa ulimbo.
Watasema mahakama zina shinikizo kutoka juu subiri waje,lakin juzi walivyoshinda rufaa ya Tyson dhidi ya Muheshimiwa Esther Bulaya,walipongeza mahakama hzo hzo!Hivi hawa wagalatia ni nani amewaroga?Awali Rais wangu John Pombe Magufuli aliposema kuwa kuna wanasiasa wanaongea sana ilhali ni wadaiwa sugu kwenye mabenki hakika sikuelewa. Ila kadri siku zinavyoenda, inazidi kudhihiri kuwa hakika maneno ya Rais wetu ni kweli kabisa.
Taarifa rasmi nilizonazo ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa watu waliochangia kufilisika kwa Benki hiyo. Taarifa hizo zinasema kuwa Freeman Mbowe peke yake anadaiwa mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni saba hii ikijumuisha mkopo wenyewe na riba. Taarifa hizo zinasema kuwa kwa sasa Freeman Mbowe anahaha kuhakikisha anapata fedha za kulipa deni hilo ili kunusuru mali anazomiliki.
Taarifa hizo pia zinasema kuwa Halima Mdee alikopa Twiga Bancorp Juni 2011 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Ghorofa mbili ambalo hata hivyo halijafahamika liko wapi. Kwamba, Halima Mdee alikopa shilingi Bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi huo deni ambalo mpaka sasa halijalipwa.
Niwasihi tu wale ndugu zangu wakopaji, dawa ya deni ni kulipa. Basi. Kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya kukwepa ulimbo.
ahahaaaaa mkuu acha tushigongo alipewa maji ya kunywa na mama meghji apunguze uchungu,hivi jamani uchungu wa hela unapozwa kwa maji ya kilimanjaro?
Kwani kudaiwa ni kosa hata wafanya biashara wakubwa wanaidaiwa na ndio mana mabenki yakawepo.Awali Rais wangu John Pombe Magufuli aliposema kuwa kuna wanasiasa wanaongea sana ilhali ni wadaiwa sugu kwenye mabenki hakika sikuelewa. Ila kadri siku zinavyoenda, inazidi kudhihiri kuwa hakika maneno ya Rais wetu ni kweli kabisa.
Taarifa rasmi nilizonazo ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa watu waliochangia kufilisika kwa Benki hiyo. Taarifa hizo zinasema kuwa Freeman Mbowe peke yake anadaiwa mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni saba hii ikijumuisha mkopo wenyewe na riba. Taarifa hizo zinasema kuwa kwa sasa Freeman Mbowe anahaha kuhakikisha anapata fedha za kulipa deni hilo ili kunusuru mali anazomiliki.
Taarifa hizo pia zinasema kuwa Halima Mdee alikopa Twiga Bancorp Juni 2011 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Ghorofa mbili ambalo hata hivyo halijafahamika liko wapi. Kwamba, Halima Mdee alikopa shilingi Bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi huo deni ambalo mpaka sasa halijalipwa.
Niwasihi tu wale ndugu zangu wakopaji, dawa ya deni ni kulipa. Basi. Kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya kukwepa ulimbo.
Ndio maana alimtaka mamnvi achukue ili wapige dili pamoja haya mengine yote yasahaulike!Hahahahahaaaaaaa! Aiseeeeee! Mbowe atajinyonga mwaka huu. Maana deni la NHC hajalipa linaibuka la Twiga! Kweli mwaka wa hasara huu