Ridhiwani asisitiza Wizara ya Ardhi inafanya kazi kubwa ya kupima na kupanga ardhi kwa matumizi bora, hati 8 zakabidhiwa Tanganyika
RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA.
Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi.
Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha Katuma Wilayani Tanganyika wakati wa ziara ya Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkoani Katavi.
#KaziIendelee
#SSH.
Kalamu zote hizo mfukoni za nini? Swagger zingine bana.