Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mwamba Yuko vizuri Sana Hakika Mimi Binafsi namuombea Ridhiwani Kikwete,Mungu ampe mafanikio tele.
 
Mara 10 rizimoko apewa wizara kuliko Mr tozo na jamaa alieua twiga wetu Mr matunguli
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] The RETURN of the MsowGer Empire
The continuation of msowger dynasty

It started with msowger king mr tabasamu[emoji1]

I real like that dude[emoji1787]
 
Huyu mleta post hii ni mnufaika wa Riziwan au Riziwani mwenyewe anajipigia debe
 
hapana kabisa tena ashindwe, kajizi sana hako kajamaa
 
HIVI MWANAUME MZIMA UNAWEZEZAJI KUANDAA MADA YA NAMNA HII?
 
Sawa...ilikuwa Haina haja ya kuleta humu...kwani inajulikana nchi inavyoendeshwa
 
ni shida ukizoea kutawaliwa!
 
Wewe tunakujua ni pusha na teja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pigaaaa kelele na babaakeee mateja oyooooo
 
Kutumikia mpaka upewe Majukumu zaidi...

Kwani majukumu yote ya Ubunge ameshayamaliza ? Alikuwa likizo wakati Tozo ambazo wananchi walilalamika zinapitishwa ? Au alisema nini kupinga hayo ?
 
Toka aanze kumsifia mama kwa kila kitu huko Instagram tulijua huyu Kuna njia anaandaliwa hata usipokuja kumuombea humu tunafahamu ni mchakato endelevu ni suala la muda tu ila 2025 inaweza asifike akawa ndani ya baraza hili lipo wazi na halihitaji promo mkuu
 


Tueleze kabla ya ubunge alifanya nini binafsi kuonyesha uwezo wake? Kitu ambacho hakimuhusu baba yake
 
Kwa awamu hii hata akiwa Waziri Mkuu hakuna atakayeshangaa
 
k
kwani hii nchi ni sultanate state?? kampe ukoo wako awaongozee.
 
Mimi niliiva zangu kitambo hukunipigia bango
 
Apewe uwaziri wa fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…