Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

Kuna mtu wa system aliwahi niambia ili mambo yawe sawa Tanzania.....JK apumzishwe period......
 
Kwa Chama Pendwa inawezekana! Nchi ni yao, NEC ni yao, jeshi ni lao, polsi ni wa kwao!
Visiwani imewezekana mara mbili, hata huku Bara inawezekana! 2040 atatoka familia ya BWM kutoka Lupaso, 2050 atakuwa Joseph kutoka Chato, 2060 atakuwa Abdul.
Umuhimu ni kuwa na Amani tu hayo mengine tumwachie Mungu.
 
Rizi Rais , ananiteua mnikulu mkuu , mambo safi ..tena Riz anashinda mapema tu ..maana km mzee wake alikuwa na timu ya wanamtandao

Sipati picha mtu mfupi timu yake ya kumpeleka ikulu itakuaje
 
Huu ni ukweli mchungu
 
Kwa hiyo na sisi tutakuwa na "Noriega" wetu. Labda USA watatusaidia kumtoa.
 
Sasa unadhani sultan mbowe na usultani wake wa kiti cha chadema anayo akili yoyote ya kutuvusha huko ...kitu pekee tunacho tegemea kwa sasa ni kifo na mvulugano wa wao kwa wao ndani ya ccm
 
 
Ridhiwan anafaa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…