Yohimbine
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 873
- 1,841
Habari za mihangaiko wanabodi.
Wiki iliyopita mheshimiwa Rais alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo katika uteuzi huo tumeona watu mbalimbali wakitenguliwa na wengine wakipewa nafasi lakini kubwa kuliko lililozua mjadala ni swala la uteuzi wa Ridhiwani kikwete ambaye amepata nafasi ya Unaibu waziri, wengi wameuponda uteuzi huu kwa sababu mbalimbali lakini hoja ya wengi ni Ridhiwani kuwa mtoto wa mstaafu hivyo hastahili kuwa kiongozi kwenye hii nchi lakini ukiangalia hata Rais wa Zanzibar Hussein mMwinyi ni mtoto wa mstaafu na wakati akiwa Waziri wa Afya na wa ulinzi alijatahidi kwa namna yake kama kiongozi kwani wengi husema Vinasaba vya uongozi hufatwa Mfano Bush family ,Kenyatta Family na Clinton Family .
Ukiondoa hayo wengine wanakuja na hoja kwamba ni Mchafu hana usafi lakini zote ni shutuma tu ambazo hazijathibitishwa.
Kwangu mimi naona apewe nafasi tumjudge kwa Matokeo atakayoyaleta kwenye Wizara na siyo kwa shutuma.