chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Viongozi inabidi waandaliwe, hata kama watoto wa viongozi. Titizo kama mtoto huyu anatabia ambazo za kifisadi, bora akae pembeni. Hapa si kusema ni tuhuma tu. Watu uenda wanajuwa jinsi alivyo mfisadi ila utaanzia wapi! Tuhuma zinahitaji mwenze ubavu kuziibua, kuhusishwa na makampuni kibao kisiri si jambo bora, mara vituo vya mafuta, uingizaji bidhaa nchini ukiambatana na ukwepaji kodi, kusafirisha magogo nje bila kuwepo wa kuhoji, zote tuhuma ambazo ngumu kuthibitisha, ila zinazunguka hivyo si busara kumpa uongozi, hata ubunge hastahili, mwache aendeshe biashara zake. Kumpa madaraka ni kukuendeleza kutumia fursa kuendesha makampuni yake hata kwa njia haramu!