chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Unamkumbuka Saidi Bwanamdogo ?Anastahili ndiyo maana ni mbunge tena kwa kuchaguliwa.
Naona ana kazi kubwa sana kufikia level ya baba yake..Ndiyo ashakuwa kiongozi
Maji hufata mkondo
Mzee
Kubali ukatae
Ova
Watoto wa Kawawa walibebwa sana kwenye ubunge na uDC! Vita nadhani ni bado Mbunge! Mwingine alikuwa DC Bagamoyo!Mimi nauliza tu hivi kwa nini watoto wa Nyerere Na kawawa mbona hawapewi uwaziri?
Kama sifa ni ubunge Na degree wanazo pia mbona wao hatuwasikii Na baba zao wameitumikia nchi hii kwa damu Na siyo kwa jasho tu.
Kumbuka hata Nyerere alikuwa mtoto wa chief, Abdalla Fundikira alikuwa mtoto wa chief, Adam Sapi Mkwawa familia ya kichifu, na wengine. Hata kwenye idara nako hivyo hivyo kuna chains za kufa mtu.Hii kitu ndiyo inayo sababisha machafuko katika nchi. Haiwezekeni kikundi cha watu wachache kujimilikisha nchi vizazi na vizazi huku wakiishi maisha ya kifahari! Na wengine wakiachwa kuwa walipa kodi na tozo za kila aina.
Shida inaonesha kwa Ridhiwan tu, hata amkumbuki mtoto wa Pinda kipindi cha hayati Magufuli nae alikuwa kwenye baraza la mawaziri.Bush mtoto hakuteuliwa na baba yake kuwa kiongozi, Alipigiwa kura kuwa gavana wa Texas na baadaye alipigiwa kura na Wamarekani kuanzia kwenye chama chake hadi nchi kuwa Rais.
This is the brilliant idea, nadhani inafaa lipendemezwe kwenye katiba mpya(kama itakuwepo).Swali langu ni hili, kwa mfano hiyo nafasi ingetangazwa ili wenye uwezo wajitokeze na wahojiwe hadharani (public vetting) kuuthibitishia umma uwezo wa wagombea, mambo yangekuwa je?
Unapouliza ushahidi unamaanisha biashara ya ngada wahusika huwa wanaenda kwa mamlaka kukatia leseni na kulipia kodi?Tupe ushahidi wa Ridhiwani kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya
Hata DC wa sasa wa Kilwa ni binti wa KawawaWatoto wa Kawawa walibebwa sana kwenye ubunge na uDC! Vita nadhani ni bado Mbunge! Mwingine alikuwa DC Bagamoyo!
Unafurahisha mkuu ,kwenye uzi nimemuongelea Ridhiwani watu wamfanyie judgement kutokana na perfomance anayoleta na sio ridhiwani tu hata mtu yoyote ahukumiwe kwa matendo yake,unachotaka kusema wewe mtu yoyote mwenye vinasaba vya uongozi hapaswi kuwa kiongozi ? Je Mwingine akitokea akisema kama we ni masikini hupaswi kugombea nafasi yoyote serikalini sababu utakuwa mwizi kama wafanyavyo US kwa POTUS itakuwa sawa ?Mkuu kwani wewe hutoshi!!?KWANINI usijifagilie mwenyewe!!?ina Maana umeshakata tamaa HADI uwe muimba pambio wa wenzio!!?