Binafsi mimi naona sasa kwa hapa tulipofikia kabla hatujaendelea mbele zaidi, hebu hii nchi tuigawane tu...
..tuigawe kati kati tu waislamu wachukue kipande chao na sisi wakristo tuchukue kipande chetu...
Tunajua ukanda wa pwani wote mpaka huko kusini Mtwara ni kwa waislamu, tutawaongezea na Dodoma ile, kisha na wao watatuachia Tabora.
Baada ya hapo wakristo tutaweka utawala wetu tunaoutaka...
...na waislamu wakaweke utawala wao wa Kisultan ambapo wataongozwa na familia ya Samia na Kikwete mpaka kiama cha maisha yao.
Kwa kufanya hivi amani ya kweli ya kudumu itakuwepo kwa mataifa teule yote mawili.