Wajinga ndani ya ccm na Tanzania wameisha itakuwa ngumu kwakeAnajiandaa kutwaa nchi mwaka buku mbili na 30 tushamshitukia.
Haitowezeka kamweee.Ni kweli ila kwa haya yanayo endelea yanatia mashaka kuyatazama.
😂😂😂😂😂Mohamed Said ametangulia Oman kumtayalishia makazi Bi Kizimkazi!
Hatariii sanaaTukiwaambiaga kuwa linaloitwa genge la wahuni ndani ya sisim ni Muslim Brotherhood (MB) na wamejipanda kweli kweli ndiyo hapo akili ziwazinduke
Ikulu ni madrasa/chuo na ocean road mabweni,kuna msikiti paleSource: Trust me bro, nimeishi pale.
Ilikuwaje ikajengwa kuwa ikulu? Yale majengo ndo madrasa au kiwanja?Ikulu ni madrasa/chuo na ocean road mabweni,kuna msikiti pale
Ikulu ndiyo dar ul salaam(nyumba/makazi ya amani/salama)
Mwambie kabla ya kuwa madrassa palikuwa ni kiringe chetu wazaramo na sisi tunahtaji kurudishiwa eneo letu la kutambikaAjenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212
Naona rizmoko anajipanga mdogomdogo kuelekeka 2030 kwa kutumia karata ya udini kumbe kelele zote na bakwata ni mpango wake
BABA YAKE ALISOMESHWA BURE NA WAKRISTO KATIKA SHULE ZA KIKRISTO MPAKA AKAFIKA HAPO ALIPO...ALIBATIZWA JINA LA PHILIPAjenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212
Hutaki historia itunzwe?Hiyo madrassa iliishia wapi? Kama iliondolewa haipaswi tena kurudi tena, wapeleke kichangani au kwa mtoro wakakaririshane maroroso huko