PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Ikulu ya Tanzania ilikuwa madrassa zamani

PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Ikulu ya Tanzania ilikuwa madrassa zamani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sema kuelekea 2030 dogo rizi ni mweupe sana kichwani yaani anatumia kete ya udini waziwazi kabisa
Kazi yote anaifanya baba yake, huyo Mzee fisadi na fedhuli akitaka nyadu wake nae aende Ikulu!!!
 
Tumejipanga haswa,
Kama mbwai iwe mbwai

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
Hahaha 😆 wenzenu Saudia, Egypt na UAE waliwakumbatiaga hao MB but little did they know kuwa Uislamu wao hao MB hauendani na an average muslims, ndiyo baadae wakaamua kuwapiga marufuku. Nyinyi waislamu wa Tanganyika wakumbatieni tu. Matokeo yake yatawatafuna
 
Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa

View attachment 3511212
Nasikitika akili na fikra hIzi ndizo tunategemea zituvushe hapa tulipo kama taifa tumekwama
 
Ubishani usio na sense. kwa hio mtakuja kuharibu historia kisa aliyeisema humpendi? Asili ya jina dar es salam ni ipi? Kwan ni uongo ? Hapo ikulu zaman kabla ya mjeruman unajua yalikua majengo yapi? Hebu tuwe critical thinkers!
Ni kweli kihistoria kabla ya mjeruman hapo magogon palikuwepo madrasa na nyumba ya kupumzika wagen waliokuwa wakisubir safar.ndio mana pakaitwa daar el salam ikimaanisha nyumba ya amani. Badae kweli mjeruman akapapenda akatwaa majengo akafanya german administrative quarter. Sasa uongo upi?
Kobazi ni akili fupi sana
 
Hahaha 😆 wenzenu Saudia, Egypt na UAE waliwakumbatiaga hao MB but little did they know kuwa Uislamu wao hao MB hauendani na an average muslims, ndiyo baadae wakaamua kuwapiga marufuku. Nyinyi waislamu wa Tanganyika wakumbatieni tu. Matokeo yake yatawatafuna
Unatapatapa, sijui MB za YAS, mara Saudi
Rudia kusoma ulichoandika

Hii listi inawafanya mlale na viatu

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service
 
Ni hivi
Mlipeta sana wakati wa yule mzee mshenzi alietutia umasikini na siasa zake za ujamaa, huku baraza lake la mawaziri limejaa wagalatia huku akimuweka kawawa kama kikaragosi wa waislamu
Sasa meza imegeuzwa, hata sisi tuliuuwawa sana Mwembechai, Pemba na Zanzibar
Ila kwa sasa tuko tayari kwa lolote. msiogope, Tulianzishe
Mkiona majina mengi ya waislamu serikalini,.mnawashwwashwa , Hao mashoga wa TEC walikuwepo toka 1956 enzi ya nyerere,
Leteni hapa matamko yao kwa nyerere kwa kuwamata kina Kassanga Tumbo, Kambona au Fundikira
 
Hii ni hotuba ya msikitini au? Sina issue na waislam lakini inaonekana tunapoelekea sio
 
Tukiwaambiaga kuwa linaloitwa genge la wahuni ndani ya sisim ni Muslim Brotherhood (MB) na wamejipanda kweli kweli ndiyo hapo akili ziwazinduke
Ridhiwani ni Al-Shabaab, kaamua kujiunga na hilo kundi akiamini litambeba na kumuwezesha kumfikisha katika ndoto zate.
 
Kabla ya huu mwaka hapo kilikuwa kichaka ama kulikuwepo na madrasa?
Swali zuri.
Hivi kwa mfano kama pale ilipo UDSM sasa, kabla ya ujenzi wake alikuwa akiishi na kufanyia kazi hapo NGARIBA maarufu wa Kizaramo, itakuwa sahihi baadaye kuhitimisha kuwa mjenzi wa UDSM ni huyo Ngariba?

Madrasa na iKULU ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Halikuwahi kuwa Msikiti, ule ukweli kwamba lilianza kujengwa na na kukaliwa na Mwarabu halilifanyi jengo kuwa Msikiti.
Hata wakati Mwarabu anamuuzia Mjerumani, ikumbukwe hilo jengo lilikuwa halijakamilika.
Mjerumani ndiye aliyekuja kulikamilisha
Hata kama ingekuwa unless tunamlipa jamaa atufanyie research ya kuandika vitabu au historia nadhani hatupati value for money - Bure kabisa hawa jamaa....
 
Back
Top Bottom