Mwaka 1891 wakati Govenor wa kwanza wa Kijerumani anaingia nchini, Ikulu ya Dar ilikua inaendelea kujengwa, ambapo ilikuja kukamilika mwaka 1896.
Wakati huohuo, Mwaka huo 1891 mzee Tambaza ndiyo alizaliwa. Wanasema eneo hilo lilikuwa mali ya Mzee Ali Tambaza. Ridhiwani anataka kutuambia mzee Tambaza alikua akimiliki eneo heo tangu akiwa Tumboni mwa mama yake?
And kukumbusha tu, wakati Govenor wa German anaingia, jengo hilo lilikua limeanza kujengwa chini ya Uongozi wa Bushiri ambao wakishirikiana na wenyeji (wazaramo) walipigana kuwapinga wajerumani, ndipo Mjerumani akamshawishi Mwarabu atulize watu wake yaani wenyeji, waka kaa chini Mjerumani na Mwarabu wakayajenga ambapo Mjerumani alimlipa kiasi kikubwa cha hela Mwarabu. Kisha Mwarabu akasepea akaachia Jiji na Ikulu na kusepea zake Zanzibar.
Sasa hao wanao claim jengo lilikua lao wanatumia vigezo gani wakati mwenye jengo na mwenye mji aliviuza akasepa