Goodness wale walio nyuma ya mashehe njaa walioahidi kushika mapanga wanaanza kuibuka peupe wenyewe, Kwanza tetesi nikuwa huyu dogo ndiyo amemuhifadhi Polepole.
Back to the topic: Sasa kama hapo palikuwa madrasa(though bado hajaweka vithibitisho vya hiyo madrasa) ndiyo nini, yaani hilo lina umuhimu gani au anatoka madrasa irudishwe na ikulu ivunjwe? Je kabla ya madrasa back then kabla Waarabu hawajaja kununua binadamu(watumwa) kulikuwa na nini, yaani hao waliokuwepo kabla ya madrasa nao tuwajue. Vipi ikulu ya Dodoma(the official capital) Napo palikuwa na kitu gani kabla, madrasa, zizi la ng'ombe, parokia, kigango, nyumba ya masista, nyumba ya mganga wa kienyeji au danguro? Na inakuwa na faida gani kwa raia, huwa sifurahii conflicts za kidini lakini huu use*nge wa Ridhiwani na use*nge mwingi mwingine wa mashehe njaa bora na Wagalatia wawajibu tu ili mpambano ukolee.