Sijaona tatizo kwenye huo ujumbe.
Ukijua maan ya TFF rudi tujadili..
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...
Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu
Kwni samata kule alipo akifanikia atkua atakua anawakilisha taifa?Ni aibu kwenda kuburudisha wanamichezo wengine ambao sisi tulipaswa kuwa sehemu yao. Diamond anakwendabkibiashara ila si kwenda kuwakiliaha taifa kwa wimbo wa unanitekenyaga ukinyonga salome. Hakupaswa kupewa bendera Ridhiwani yupo sahihi
Mkuu umemaliza, alitakiwa apewe bendera na basata na si TFFHiyo bendera haikupaswa kutolewa na tff hayo ni maajabu ya kuku miatamia mauai ya bata kwanza huyo dogo sio mcheza kabumbu wala mwanamuziki ni msaniiii sikunyingine muniulize niwape tofauti ya mwanamuziki na msaniii pumba tu hizo sisikazi yetu ni kusindiza tu
Acha jazba wajina, TFF wamefanya kazi ya BASATA. Tff wanatakiwa wampe bendera mwakilishi wa Soccer tu na si vingineDuh !! Yan watu kime Wauma Diamond kwenda Kuperfom Kukiko Taifa Starz Kukosa Kushiriki. Mpira Hatuuuwez Na daima itakuwa hvyo hvyoo !!
Yeye anaiwakilisha Tanzania na nini?Kwani jamaa amechukia au amewaponda tff yaani mwanamuziki ndo anatuwakilisha sio taifa stars,au mi nimeelewa tofauti?
tanzaniaa ya vigodoro!!!
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...
Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu