Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

Sasa hapo wajitahidi kuboresha zaidi kusiwe na haja ya kuwa na kituo kimoja cha kukusanyana! Wafanye kama taasisi binafsi zinavyofanya, aptitude test ni kwa ajili ya mchujo wa awali hivyo kila mmoja aweze kufanyia mahali popote alipo! Test iwe automatic baada ya muda fulani test inajifunga yenyewe! Baada ya mchujo wa kwanza ndiyo hatua za mchujo mwingine ufuate.
 
Mru wa bukoba na songea kwenda dodoma kujaribu bahati ya kuokota ajira bila laki 3 ajaenda ikifanyika kwa usahii itaokoa sana gharama Bora unaandaa TU bando lako la elf 5 unafanya interview
 
Hakuna watu wa hivyo zama hizi ,kwanza ilitakiwa watu wafanyie kwenye simu au laptop yake sehemu yeyote alipo
Wewe unaishi nchi gani hiyo unayosema hakuna zama hizi? Mbona eako wengi sana tena wengine wapo kwenye ofisi za Umma kutumia computer ni mtihani kabisa!
 
Kwenda interview Dodoma ni ujima na gharama sana na kuwanyima haki wengine wasiomudu kwenda
 
Read btn the lines...

Acha kuwa among "wapumbavu"
Narudia tena kusema kitu kile kile acha ulomolomo ,uliandika ujinga bila kufikiri ila hutaki kuona huu ukweli.

Pengine unaishi Dodoma na hukuwahi kujua au kuona gharama za kusafiri kwenda Dodoma zilivyo kubwa na zaidi ni risk sana Kwa sababu gani? Ili kupunguza gharama kidogo za kukaa Dodoma ,wengi walikuwa wanasafiri siku moja kabla ya usaili kwenda Dodoma Kwa wanaotokea Dar es salaam au mikoa iliyo karibu na Dodoma ,hapo risk inakuja pale gari limeharibika njia na uwezekano wa kufika Dodoma siku hiyo ili awahi usaili siku inayofata ni mdogo sana na huyu mtu Kuna uwezekano akakosa usaili. Au umepata kazi tayari hivyo hujui madhila yanatowakumbuka na gharama wanazokutana nazo wasailiwa.

Ukiona Kila mtu anapongeza huo mfumo jua kapitia gharama zisizoelezeka ,wewe unapokuja na gharama za bando wenye akili wanaona unaleta vioja kwenye mambo ya msingi. Hata utumie bando la 20000 ni nafuu kuliko kwenda Dodoma.

Mimi nimejibu kulingana na ulichoandika na nimegundua jambo Moja kubwa uliandika uroporopo ambao huwezi kutetea Kwa hoja
 
Back
Top Bottom