Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake huku ikisaidia kujibu kero na kutoa majawabu ya shida za wananchi.
Mifumo mitatu iliyobuniwa hivi karibuni kwa ajili ya kupima utendaji wa watumishi ni ule wa PEPMIS, PIPMIS pamoja na HR ASSESSMENT ambayo yote itahakikisha inafuatilia utendaji kazi wa mtumishi katika majukumu yote aliyopangiwa.
Naibu Waziri Kikwete ameyasema hayo akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma wakati akieleza utekelezaji wa ufungaji wa mifumo hiyo na tija yake kwa Taifa na wananchi.
"Sisi kama Wizara tumetengeneza mifumo ya PEPMIS, PIPMIS na HR ASSESSMENT. Yote ikisomeka pamoja inasoma utendaji kazi wa mtumishi kutoka kwenye mahitaji ama mapungufu ya kiutumishi. Mifumo hii inalenga kufanya tathmini ya kiutendaji kwamba huyu mtumishi wa umma aliyepewa majukumu fulani, Je anayafanya vizuri na anayafanya kwa kiasi gani? Kwahiyo itatusaidia serikali kujua mtumishi anafanyaje kazi. Kwenye mfumo huu tumeweka utambuzi kwa rangi ambapo kijani itaonyesha mtumishi anafanya kazi vizuri, njano itaonyesha mtumishi anafanya kazi vizuri lakini kuna ulegevu sehemu na nyekundu itaonyesha hapa kuna hatari na kazi hazifanyiki. Na hizi rangi zimewekwa ili kumwezesha msimamizi wa ofisi namna taasisi yake inavyofanya kazi na kwenye mapungufu hatua zichukuliwe"
Kikwete ameongeza kuwa ujio wa mifumo hiyo haina lengo la kufukuza watu serikalini bali ina lengo la kutaka utumishi wa umma uweze kutoa tija kwa wananchi kama ilivyo dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anayesisitiza kila mara kero za watu zitatuliwe.
Kuweka hiyo mifumo bila kuwasikiliza wananchi ni kazi bure. Mawaziri watz sijui wamerogwa na nani waliowengi wakianza ziara wanawasikiliza watumishi tu bila kuitisha mikutano ya hadhara watatue kero za wananchi
Roho yangu huwa inauma sana tunapokuwa na watumishi wenye kutoa matamko utadhani wamezaliwa na kukulia ulaya,mimi niko huku liwale kupata huduma ya internet hadi nisafiri km 50 kwenda mjini ,hizo gharama anazilipa nani? Harafu tangu lini mfumo wa namna hii unawezq kunifanya mimi mwalimu kujituma ikiwa mimi ndo naingiza tarifa husika?
Tanzania bado sana,sisi bure tu,

Niujinga wa hali yajuu kukopi mifumo nchi zilizoendelea na kuzilazimisha hapakwetu bila kutizama mazingira tuliyonayo...
Mfano kuna walimu wapo vijiji visivyo hata na umeme wala network Sasa ataingiaje kwenye mfumo??
Wapo walimu weengi wanakopa hata bodaboda ili kufika shule Sasa huyo atanunua bando kweli??
Waziri anaekewa mafuta,anawekewa bando,anaishi mjini anahisi watumishi woote wanaishi hivyo!!!
Kama huyo Toka kuzaliwa hakajaishi vijijini hawaijui njaa kenyewe kanaona Tz nikama ulaya...
Viongozi vyama vya wafanyakazi muamke acheni ujinga na kuzubaa kizembeee
Roho yangu huwa inauma sana tunapokuwa na watumishi wenye kutoa matamko utadhani wamezaliwa na kukulia ulaya,mimi niko huku liwale kupata huduma ya internet hadi nisafiri km 50 kwenda mjini ,hizo gharama anazilipa nani? Harafu tangu lini mfumo wa namna hii unawezq kunifanya mimi mwalimu kujituma ikiwa mimi ndo naingiza tarifa husika?
Tanzania bado sana,sisi bure tu,
Badala ya kufanya kazi watumishi watakuwa bize kuingiza ushahidi wa kazi walizofanya kwenye mifumo. Yaani 25% ya muda wa kazi itakuwa na kujipambapamba kwenye mfumo π€£