Kipimo Bora kuliko vyote ni kuhoji wananchi kama afanyavyo MakondaNI vyema wangeanza kujipima wao Kwanza ingekua Uzuri zaidi!!
Wananchi wahojiwe Kila taasisi ya Serikali performance yake Kwa ujumla wanaionaje ki kitaifa,kimkoa ,kiwilaya ,kimtaa na eneo ipo
Internal assessment pekee haitoshi
Hayo madude mengi wameweka ni internal assessment wanajipima wao Kwa wao maofisini kwao akipita Makonda akitaka assessment ya wananchi yanaibuka madudu ambayo hatakuonekana kwenye internal Assessment na Mtu alipandishwa mivyeo
Public sector iwe Serikali,bunge au mahakama wapimwe sio tu internally external assessment ifanyike Kwa staili ya Makonda wananchi wahojiwe Kwa evidence watoe maelezo kama wanaridhika au la