Ridhiwani Kikwete: Tukisimamia haki na sheria, tutaondoa uvamizi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

TUKISIMAMIA HAKI NA SHERIA,TUTAONDOA UVAMIZI - RIDHIWANI KIKWETE

Maneno hayo ameyasema Mh. Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipofanya Ziara ya siku moja katika kata ya Lugoba ambapo migogoro ya Uvamizi wa Ardhi za Vijiji inaonekana kuanza kushamiri. Katika ziara hiyo Ndg. Kikwete ameendele kuwaasa wananchi kuheshimu taratibu na sheria kwani huo ndiyo msingi utakaoleta Amani katika jamii yetu.

 
Riz moko is a man and a half.
Mungu baba wa Mbinguni azidi kumpigania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…