Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Azimio la Bunge nadhani lilikua tofauti na hiki ulichoandika maana hapa ni kama unasema Wabunge walikua wanapinga Kampeni
 
Huyu dogo mjinga sana anajikosha tu wakati kenyewe kachafu hatari.


Ridhiwani ni papa pia, alikuwa anacheka Makonda kushambuliwa kwa sababu aliguswa maslahi yake. Kwa kweli kama Makonda na JPM watamuacha Ridhiwani watakuwa hawajatenda haki, huyu kijana na mwenziwe Kinjeketile pamoja na watoto wengine wa vigogo ni hatari kwa taifa na LAZIMA wafikishwe central. Hapa Dar hakuna asiyejuwa kuwa Ridhiwani alishikwa China na madawa ya kulevya. Kwa kweli rais Magufuli na timu yako tendeni haki.
 
Back
Top Bottom