Hivi samahani lakini naomba kuuliza.
Hivi kuna mtu mwenye ushahidi na uhakika kabisa kuwa ridhiwani aliwahi kujihusisha na dawa za kulevya, au ni story tu za kijiweni??
Maana kwa mawazo yangu sidhani kama mtoto wa raisi anaweza kufanya biashara kama hiyo. Kwani baba ake si angeweza kumpa chochote anachotaka?? Baba ake si alikuwa ana mamlaka juu ya nchi yote hii. Kwa nn tena akarisk tena huko kwenye hayo mavitu???
Mimi kwa kweli jamani siamini kabisa hizi story za kumuhusu huyu jamaa na nnaona tu ni kama chuki binafsi, choyo na wivu juu ya mtoto wa raisi wetu mstaafu kipenzi.
Please guys jembu njooni na ushahidi hapa na tuache story za vijiweni. Narudia tena , SIJAIONA SABABU YA RIDHIWAN KUFANYA BIASHARA HARAMU KAMA HIYO. HE HAD EVERYTHING