Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Hivi yule aliyekamatiwagwa China wakandikishiana mikataba na Mzee ili kuuwa soo ni nani vile!!! Eti mzee alipanda pipa fasta
Usiseme mikataba mkuu...
Sema MIKATABA KUMI NA TISA (19) ndio italeta ladha
 
Akitajwa Mbowe mnataka uwepo na Ushahidi wa Kimahakama Ila akitajwa Ridhwan basi tuunge Mkono bila ya ushahidi!

Ndo Yale Yale ya List of shame,

List of shame iwe halali kumchafua Mzee Lowassa halafu ya Makonda iwe haramu kumchafua Mbowe!

Hawa Chadema asingetajwa Mbowe na Mshenga wao Gwajima basi wasingeipinga ile List ya Makonda kwa zile hoja za kisheria walizotumia kupinga!
Yani wewe lumumba umemuona Mbowe tu
 
Yani wewe lumumba umemuona Mbowe tu

Mbowe haogopi kuwekwa Mahabusu anaogopa Kupelekwa kwa Mkemia kupimwa Damu kuhusu Matumizi ya Madawa na hasa Bhangi!

Kwa Wazee wenzangu Enzi hizo tukiita Mbowe Club ikiwa na uzio wa Magunia na Freeman Akiwa kijana sana tunakumbuka Mengi sana.

Ismael Aden Rage atakuwa anacheka sana akikumbuka ya 1980-1982 na Mbowe kukacha kwenda kwa Mkemia Kupima damu kuhusu Matumizi ya Dawa za kulevya!
 
Sasa unashangaa nini kama sio uchizi tuu? Hivi si ni nyie mliopinga Makonda kuwataja? Sasa nikuulize unashangaa nini? Kama una ushahidi na wewe peleka polisi....
Mlivyo sikia kuna Mapapa sijui mlidhani ni Papa Francis au Benedicto? Wametajwa Mapapa mmeanza kulia lia na mnataka wengine watajwe wakati wakitajwa mnapiga kelele.
kwa hapo wabongo mmewaweza sio kwa kupakazia hadi wachungaji uku wakina riz wanadunda ila mwisho wa ubaya unakuwaga ni aibu tu
 
Hebu mwambieni Ridhiwani awe serious jamani hatuitaji maigizo yeye kama anataka ajitaje aseme tu
 
Sitaki kuamini kama mkuu wetu wa mkoa anamuogopa huyu mbunge.

Bila shaka kwenye list ya tatu atatajwa.

Tuwe na subiri.
 
Hivi yule aliyekamatiwagwa China wakandikishiana mikataba na Mzee ili kuuwa soo ni nani vile!!! Eti mzee alipanda pipa fasta
Hahaha sijakuelewa mkuu, hebu shuka angalau tupate kuelewa.
 
Nani mwenye ubavu wa kumshughulikia kama Wachina walishindwa
 
upload_2017-2-11_3-53-47.jpeg


SAFI SANA, TUPAMBANE PAMOJA, NASHANGAA HAUPO KWENYE LIST NDUGU RIZ
 
Back
Top Bottom