Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Mimi yangu macho tu wacha picha iendelee
 
Mambo wasiyotaka kuyaona Chadema ndio kama haya lazima wawe wakali hapa[emoji1] [emoji1]
 
Ni mwendelezo wa kupambana na MADAWA ya kulevya, ndugu Ridhiwani kikwete ameunga juhudi zinazofanywa na Paul makonda kutokomeza biashara haramu ya MADAWA ya kulevya. Ni wakati sasa wabunge wakaiga mfano wa huyu mbunge katika vita ya madawa ya kulevya. Pongezi kwako mheshimiwa kwa kuunga mkono juhudi Kali ya kupinga mihadarati

Jukumu la kutokomeza biashara hii ni la watanzania wote.
d14e1062c51e299f4e7806e18f8a6cdc.jpg

Je, Ridhiwani ni kweli anaunga mkono au anajisafisha tu kutokana na kutajwa kwake mara kwa mara kwenye madawa ya kulevya?.
54a31e1fb5eaf640d6eb4f00cb024f15.jpg
.
Tujadili pamoja. Karibu
Hii ni hatari kama mtoto wa Rais Rtd na mkuu wa mapolisi katajwa na vyombo vya nje?? Tafuta kushahidi magerezani China na Asia.
Nani atamfunga paka kengere?
Makonda peke yake hawezi!!
Mkuu wa kaya beba majukumu okoa taifa letu lisiangamie!!
 
Umaskin na mawazo potofu unakuchanganya...
Usimsee mtu kama huna sababu maalum za kumshutumu na ushahid wa kujiridhisha..hata kama ungelikuwa bi weqe sidhan kama ungefurahia
Kwahiyo wale wanaotajwa na makonda wanaushahidi?? Na kama ushahidi upo kwanini wanaachiwa
 
Mh ctak kuamini kama Ridhiwan nae anaunga mkono ila sawa tusitie maneno ngoja tuendelee kucheki muvi itaishaje
 
Uzuri ni kwamba kulekule IG alikorusha hizo pongezi zake kwa rc, wanamshambulia riz 1 mpaka hivi sasa.
 
Hivi kuna mtu asiyejua kuwa Ridhi1 anatuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya? Bora angenyamaza ila kwa sasa ndo ataanikwa mpaka akome.
...makondo hawezi kumgusa hata kammba za viatu alimfungia na bila ridhi pengine asingekuwa kwenye nafasi hiyo so lazima amlinde kwa nguvu zote
 
Mkonda katega mtego wa panya so tutasikia sauti za wadudu/wanyama mbalimbali zikilia vilio tofautitofauti.Tumwombe Mungu asikatishe binadamu hapo akanaswa!
 
Safi sana Ridhiwani

Chama cha democrasia na madawa Chadema watanyooka tu
 
Sasa si watuhumiwa wanatajwa?Yeye kamtaja Ridhione kikwete kuwa ni dealer,hayo ndio mapambano yenyewe!
Dogo hao siyo watuhumiwa ni madrug dealers tayari pale alitumia tafsida tu
 
Nashauri Mkuu ahame kwa muda pale Magogoni, lile jengo jeupe likaguliwe upya ! Asije akawa ametegeshewa mzigo ambao utatumika kumziba mudomo na kumfunga mikono!
Niko siriasi! Vita hii ni kuwa makini na kila kitu.
 
Kumjuwa mchawi ni kazi ngumu sana ,
maana katika miko ya wachawi ni kutokujitokeza Hadharani na kusema wazi ni mchawi.

Ila utawaskia , "watu wanasema mimi mchawi"
 
Ni mwendelezo wa kupambana na MADAWA ya kulevya, ndugu Ridhiwani kikwete ameunga juhudi zinazofanywa na Paul makonda kutokomeza biashara haramu ya MADAWA ya kulevya. Ni wakati sasa wabunge wakaiga mfano wa huyu mbunge katika vita ya madawa ya kulevya. Pongezi kwako mheshimiwa kwa kuunga mkono juhudi Kali ya kupinga mihadarati

Jukumu la kutokomeza biashara hii ni la watanzania wote.
d14e1062c51e299f4e7806e18f8a6cdc.jpg

Je, Ridhiwani ni kweli anaunga mkono au anajisafisha tu kutokana na kutajwa kwake mara kwa mara kwenye madawa ya kulevya?.
54a31e1fb5eaf640d6eb4f00cb024f15.jpg
.
Tujadili pamoja. Karibu
Dogo keshasahau baba yake alivyoweka rehani rasilimali zetu kwa Mchina kuokoa kichwa chake
 
makonda-jpg.468718

Wapemba hujuana kwa vilemba...!​
 
Haya nimapambano ya watanzania wote
sio makonda pekee
 
Back
Top Bottom