Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Kamuunga mkono kivipi?mi nilifikiri amepewa majina phase 111 ataje hadharani!
 
Nchi hii ni ya ajabu sana....
Mnichague 2025 ilimuione kazi inayotakiwa ifanywe na viongozi wa juu wa kiserikali.
 
Ni juzi tu hapa Makonda alikuwa kibarua wa Riziwani na akaonekana anafunga kamba za viatu vya Riziwani. Riziwani ndio Godfather wa GSM, leo hii GSM ndio wanaomuweka mjini Makonda. Kwa uhusiano huu inaonyesha kuwa Makonda bado ni mtumishi wa Riziwani na kwamba huenda hata namna ambavyo watu wanatajwa ni kuiepusha network ya Riziwani na kutajwa lakini pia labda kuwaharibia wapinzani wao kibiashara ya unga
 
Duuuh hatari kidogo listi ya muheshimiwa imeisha kwani kwa mana hata mimi sijui kama nitatoka kwenye listi ya konda wa bus la dar es salaam..MI naona kama Ridhiwani kawahi kidogo kutoa pongezi *
Asubiri list iishe aone kama atatoka
 
Kamuunga mkono kwa hiyo post ya Instagram ? Duu haya waheshimiwa
 
IMG-20170209-WA0078.jpg
 
hao jamaa wa msoga wanajua sana kucheza na akili za watanzania si baba si mwana
 
hilo bango mbona limekaa kimafumbo sana
 
Kuna waliotajwa na watu zaidi ya milioni na kwenye list mbili hadi sasa hawamo lakini 'Philimone Mbowe' katajwa na Makonda, pamoja na kutokuwa na uhakika kutokana na jina lenyewe nilishangaa kidogo 'mtangazaji' kuamua kutoa 'press conference' ya pili ili kuclarify huyu ndiye Mbowe mbunge wa Hai.
Kwa maana hii ni serikali sikivu na makini sasa inakosekanaje subira ya kuhakiki majina lakini ikapatikana haraka ya kukimbilia kwenye media!?
 
Hapa ndipo panapoonekana kuwa suala la kupambana na madawa ya kulevya ni la kiasiasa zaidi,waliotajwa hadharani wote ni watuhumiwa tu,zoezi hili lingekuwa linafanyika kwa haki mtuhumiwa wa kwanza kutajwa alitakiwa awe Riziwani.
 
Back
Top Bottom