Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Kumbe mh naye yupo kwenye mapambano, hii vita itafanikiwa sana, kama hadi wakuu wa vita wameamua kuingia vitani!!!.
Mh mtukufu wa dar, ongeza jembe hilo likusaidie.
 
Watu wa chadema ni kama mmechanganyikiwa.Kile ambacho unakataa Mbowe asifanyiwe unakifanya kwa Ridhiwani
 
Acha kupaniki...
 
Hili la madawa kwa ridhiwani litapita Maana mwanzoni alisingiziwa kuwa lake oil ni yake wakati lake oil Ilikuwepo tangu anazaliwa
 
Ni watanzania wapi waliomshangilia? Maana hili litakuwa sawa na walichofanya kumshangilia fisadi papa la list of shame mwembechai!
 


Unajiapiza kama una uhakika.
 
kuwa na adabu na imani za watu.
 
Kwani huyu dogo Riz hayupo katika orodha ya kijana Makonda?
Kama ile picha ya makonda akifunga viatu vya riz ni Photoshop tungemwona riz kwenye list otherwise mi naagiza kikombe cha kahawa niendelee na mambo yangu
 
Huyo kijana yupo ktk system ya serikali jina lake likitajwa mnataka simba dume angurume msoga patakua hapakaliki hata huyo kondakta nae anayake kipindi cha DC
 
Kwani huyu dogo Riz hayupo katika orodha ya kijana Makonda?
Hahahahaaa, mkuu acha zerewu, hujaona picha mtu anamfunga kamba za viatu? yaani atoke kule mpaka kumuweka kwenye list?
 
Mna uhakika na mnayoyasema au, mnaongea tu kujifrahisha angalien mdomo ucje kuponza jino
 
Kinondoni ndio ilikua kinara kwa udhulumat wa viwanja je hizo skendo hazipo ila zilizimwa kwahio hapo konda hachomoki
 
Huyo Si alikamatwa China?.....kama alivyo sema Dr Slaa!!!
 
Makonda alivyo Funga viatu vya Huyu jamaa akapata uDC je anaweza sema lolote juu ya huyu Jamaa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…