mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Umekula omo kaka?Ulitaka upewe wewe?jinsia yako inakuruhusu bali akili huna na sifa maana umekaa sana gerezani karanga
Mkuu mr gentleman kwa swali lako hilo majibu yako fasaha haya hapa chini. Huyu ndiyo alikua anasema na anajua yote hayo.Kwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Modi wekeni habari nzima basi tusome.
Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Kikubwa na kizuri tumekubaliana wote sasa kwamba Ridhiwan hauzi unga. Tusijeona ona tena mjadala kwamba Ridhiwan ni muuza unga .Vyama vyote na wananchi wote tumekubaliana ili hapa rasmi hahahahahahah raha sana.
Commissioner wa kupambana na ' drigs ' ndo nani mkuu?Kwa sababu,umetumia busara kuuliza nkujibu,lRidhiwan jina lke lilikuepo kwny ile orodha ya mwsho aliyojimasibu mpk watoto wa viongoz wamo ila majina hayakusomwa na orodha ya watuhumiwa ilikabidhiwa kwa commissioner wa kupambana na drigs
Achana na walotajwa....wa kwenye file uliyaona?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
kwanini ulikuwa unamtetea hapo nyuma sasa hivi unamgeuka??inamaana mnacheza mchezo mmojaNayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
weka hilo tamko hapa kuonyesha chadema kanda ya pwani wamemtetea ridhiwan acha propaganda mkuu hazisaidii chochote. Ridhiwan na chadema wapi na wapi !!!Kweli hujui kusoma hata picha huoni? Chadema kanda ya pwani wametoa tamko. Na huo ndio msimamo wao kama chama na mimi kuwaweka watu wenye mtizamo huo kundi moja ni sawa kwa mtazamo wangu na nipo sahihi kwasababu huko chama kimekwisha kutoa muelekeo kwa swala binafsi. CCM hawajatoa muelekeo kama chama na ni muona binafsi wa kila mwanachama na umesikia au kusoma maoni tofauti ya wanaccm. Nafikiri nimekujibu na kukupa elimu japo kidogo.
Hamtaki prince Bashite atajwe kabisa?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
97 boraKwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
hahahahaha ndo wapo hivyo hata cku makonda akihama ccm utaskia oooh mfoji vyeti cjui jambazi wakati kipindi hki tukisema hawa ccm wanamteteakwanini ulikuwa unamtetea hapo nyuma sasa hivi unamgeuka??inamaana mnacheza mchezo mmoja
hawa jamaa wanatufanya watanzania wajinga sana na wakutuchezea akiliSo far kwenye List zote za Bashite hakuna hata mmoja katiwa hatiani na either tume or Mahakama.
Conclusion.
Bashite hajui afanyalo
umechanganya madesa mimi nimesema amshukuru makonda kamsafisha wewe unabwabwaja yako ambayo cjayasemamkuu embu tuwe serious kidogo hivi unamuita na kumhoji muuza madawa unategemea utamshika??? nani kati ya walioitwa wale 65 alihojiwa akakutwa na hatia na akatupwa ndani??? au mnafkiri hatuoni kuwa mnatuchezea akili watanzania???? Mhalifu mkamate na ushahidi au mfanyie counter attack ila kwa staili yenu ya kuwataja afu ndio kuwahoji mlishakosea toka mwanzo hivyo msiseme ukawa sijui walidanganya we jua nyie ndo mliharibu operation
vita gani ya Mungu??? huyo makonda anakesha kwa waganga afu ndo wamhusisha na Mungu r u serious??? Mungu anafurahia kuwataja watu wasio na hatia au bila ushahidi afu ukawachafua hadharani ''the case of gwajima and the 65???'' eti hicho ndo Mungu anataka???Mtu mwenye hatia anakimbia bila kufukuzwa! Hii vita ni ya Mungu! Na sisi wananchi tunasema Amen Ra
ndo nasema hata kma amehusika kwa staili ya makomda huwezi mkamata mtu!!! wote 65 walihojiwa hamna aliyekamatwaumechanganya madesa mimi nimesema amshukuru makonda kamsafisha wewe unabwabwaja yako ambayo cjayasema