Okey twende....twende PM
unabii wa askofu Kakobe unaendelea kutimia...
utaishia majungu tu na nafikiri utakua unaishi kwa shemeji yakosasa nimeelewa kwa nini mama Salma Kikwete amepewa ubunge wa viti maalum..!
tukumbushe alitabir nn?unabii wa askofu Kakobe unaendelea kutimia...
Naona ume sign in kaziniKwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Wapare hawajawah kuwa na akiliKunguru hafugiki
kwani kuishi kwa shemeji dhambi?utaishia majungu tu na nafikiri utakua unaishi kwa shemeji yako
Alaa kumbe...kawaida mtoto akinyea mkono huukati bali unausafishaWapare hawajawah kuwa na akili
Wewe na Ritz si mlikua watetezi wake humu?Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Waswahili bwn,,,,[emoji124]Na huyu Mkwere mdogo nae mnafiki kama dingi ake tu
Mtu mwenye hatia anakimbia bila kufukuzwa! Hii vita ni ya Mungu! Na sisi wananchi tunasema Amen RaKwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Ridhiwan mnafiki yeye juz si alikua ana Furahi, anasema a nashukuru sasa kuwa amekua huru sababu tume imemuona hauzi, alikua anaongea Miladiayo, na ata katika video ya mwananchi digital.. Gazeti linaandika wanavyotaka wao, Kwani minong'ono alianzisha makonda
Ngoja viamke vya Mbowe na Lissu!Mtajuana wenyewe huko ccm.
Haramu mliyoila uchaguzi mkuu ndio inawatafuna sasa.
Wenyewe kwa wenyewe hamuelewani.
Hii ndiyo inaitwa KARMA.
Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungutukumbushe alitabir nn?