Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA
je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU?
Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao?
Nakukumbusha tu kupitia Bunge hilo hilo.la Chama kimoja mlisema msiwaonee ambao wanataka kwenda kuwa karibu na wenza wao! SIMBACHAWENE alisisitiza SERIKALI ILINDE NDOA ZA WATU! SASAA IWEJE WEWE USEME HAKUNA UHAMISHO?
je huoni.kama unawatesa watu walishajaza maombi imepita miaka miwili wanapigwa danadana tu au unatamani NDO ZA WATU ZIVUNJIKE? MBONA UNA ROHO MBAYA HIVYO AU HASIRA ZA KUCHOMEWA SHELI ZENU?
WEWE NAYE TUANZE KUKUWEKA KWENYE MAOMBI USITOBOE! .Mungu hadhihakiwi nakuahidi hilo