Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

Mtandaoni kuna hii release ya mkuu wa usalama

1719484523857.png
 
Afadhali wakenya,,siyo hapa Tanzania tunahali mbaya na kunyanyaswa na seeikali lakini hatuchukui hatua
muda bado kidogo hili wimbi la wamama kulea watoto peke yako wakiitwa super woman subiri hicho kizazi kinachokuja kitakuwa ni zaidi ya kenya, wenge wa hao vijana ukitazama ni 18-25 kenya huu u single mother waliuanza muda!
 
Hapo kwenye Namba 4 kaamua kumwaga Mboga😆😁

Sijui Ukabila utaisha lini kwenye Jamhuri ya Kenya?!
Toka mwanzo naona huu ni muendelezo wa harakati za wajaluo kuukataa ushindi na urais wa Ruto; tofauti sasa ni kuwa Gachagua kama anataka kujitenga na Ruto
 
Somo: Kukaa kimya wakati wewe ni msaidizi mkuu wa Rais ni kuunga mkono mipango, matendo na maamuzi yake.

Falsafa: Ndege wafananao huruka pamoja kwa hiyo tusishangae kuona mambo mengi tu yakijirudia...kazi iendelee!

Mods naomba kichwa cha habari kiwe kama ifuatavyo...

Makamu wa Rais wa Kenya hakukubaliana na bosi wake na hakukaa kimya kama vile hayupo!​

 
Toka mwanzo naona huu ni muendelezo wa harakati za wajaluo kuukataa ushindi na urais wa Ruto; tofauti sasa ni kuwa Gachagua kama anataka kujitenga na Ruto
Kweni huyo Mkuu wa Usalama ni Kabila gani mpaka Wajaluo watembeze Fitina?!
 
Mtandaoni kuna hii release ya mkuu wa usalama

View attachment 3027454
Ruto nominates Noordin Haji as new NIS Director General

Haji served as the Deputy Director of the Counter Organised Crime Unit within the National Intelligence Service

In Summary

Haji served as the Deputy Director of the Counter Organised Crime Unit within the National Intelligence Service.

Haji's nomination comes ahead of the retirement of Major-General (Rtd) Philip Wachira Kameru, the outgoing Director-General.



Director of Public Prosecutions (DPP) Noordin Haji
Image: FILE


President William Ruto has nominated the Director of Public Prosecutions Noordin Haji as the new Director General of the National Intelligence Service.

"Consequently, it is notified that Excellency the President has, In accordance with Section 7 (1) of the National Intelligence Service Act, nominated Noordin Hajl, CBS, for appointment as the Director-General of the National Intelligence Service," Ruto said.

Haji returns to the National Intelligence Service after 6 years of serving as the Director of Public Prosecutions.

Before being the DPP, he served as Deputy Director of the Counter Organised Crime Unit within the National Intelligence Service.

He holds a Bachelor of Law and Masters degree from the University of Wales, Cardiff.

Additionally, he holds a second Masters Degree in National Security Policy with Merit (MNSPO) from the Australian National University.

Haji was admitted to the Bar in 1999 and thereafter joined the Public Service in January 2000, working at the Attorney General's Office

Ruto has transmitted the nominee's name to the National Assembly for consideration by Parliament, in fulfillment of the requirements set out under the Constitution and the National.

Haji's nomination comes ahead of the retirement of Major-General (Rtd) Philip Wachira Kameru, the outgoing Director-General.

General Kameru was appointed in September 2014 after an illustrious military career
 
Kweni huyo Mkuu wa Usalama ni Kabila gani mpaka Wajaluo watembeze Fitina?!

HE NATIONAL ASSEMBLY APPROVES NOORDIN HAJI FOR APPOINTMENT AS NATIONAL INTELLIGENCE SERVICE BOSS​



The National Assembly has approved the appointment of Mr. Noordin Haji as the next National Intelligence Service (NIS) Director General.
Through a Special Motion moved by Chairperson of the Departmental Committee on Defence, Intelligence and Foreign Relations the House voted to approve the appointment of Mr. Haji as the next spymaster general. Mr. Haji takes over from the outgoing NIS boss Major General Phillip Kameru who is headed for retirement.
While moving the Motion Hon. Koech explained that the Committee had undertaken a thorough scrutiny of Mr. Haji's professional and academic competence for the job, as well as his long running career in public service.
"There is a general feeling even within the NIS that Mr. Haji is best fitted for the job, because for the very first time the service will be headed by someone originating from within," said Hon. Koech.
The Motion was seconded by Committee Vice Chair Hon. Major (Rtd) Bashir Abdullah who exuded confidence in Mr. Haji's suitability for the job following a thorough vetting by the Committee.
Members who spoke challenged Mr. Haji to use his knowledge of the service operations to fix teething security threats including cross-border economic crimes.
 
Hapo kwenye Namba 4 kaamua kumwaga Mboga😆😁

Sijui Ukabila utaisha lini kwenye Jamhuri ya Kenya?!
Wao wenyewe unaukubali sana, maana ukimsikiliza riggy mwisho anasema wanataka kukuta na wawakilishi kadha wa vijana ila hawana viongozi wala kabila
 
Mkuu wa Usalama wa Taifa Kenya kajibu hizo tuhuma nashindwa ku attach statement yake

Lakini kasema yeye ni competent na alipewa hiyo nafasi Kwa uwezo wake

Pili kasema huyo makamu wa Raisi Gachagua alikuwa hataki.yeye ashike hiyo nafasi Kwa kumbagua kikabila

Tatu kasema yeye kama Mkurugenzi mkuu wa Usalama wa Taifa haripoti taarifa zake Kwa makamu wa Raisi huripoti Kwa Raisi moja Kwa moja .Raisi ndie huzipokea sio Makamu
Kuwa Gachagua Makamu wa Raisi anajiongelea tu kuchafua taasisi na yeye kama mkurugenzi wa Usalama wa taifa.ndio maana kaamua kujibu

My take Kenya Kuna shida Mungu awasaidie
 
Back
Top Bottom