Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

Mkuu wa Usalama wa Taifa Kenya kajibu hizo tuhuma nashindwa kunattach statement yake

Lakini kasema yeye ni competent na akipewa hiyo nafasi Kwa uwezo wake

Pili kasema huyo makamu wa Raisi Gachagua alikuwa hataki.yeye ashike hiyo nafasi Kwa kumbagua kikabila

Tatu kasema yeye kama Mkurugenzi mkuu wa Usalama wa Taifa haripoti taarifa zake Kwa makamu wa Raisi huripoti Kwa Raisi moja Kwa moja .Raisi ndie huzipokea sio Makamu
Kuwa Gachagua Makamu wa Raisi anajiongelea tu kuchafua taasisi na yeye kama mkurugenzi wa Usalama wa taifa.ndio maana kaamua kujibu

My take Kenya Kuna shida Mungu awasaidie
Imewekwa post #28 hapo
 
Jamaa kajitetea anasema huyo makamu anamshambulia sababu watu wa kabila lake wengi wametolewa usalama wa taifa , kwahio ana kabifu nae
Na cha kushangaza muswada wa bajeti umeandaliwa na serikali yake, waliupitia hatua kwa hatua na kufikisha bungeni ukapitishwa sasa wanatafuta mchawi.
Siasa za Afrika pasua kichwa
 
Back
Top Bottom