Mkuu wa Usalama wa Taifa Kenya kajibu hizo tuhuma nashindwa kunattach statement yake
Lakini kasema yeye ni competent na akipewa hiyo nafasi Kwa uwezo wake
Pili kasema huyo makamu wa Raisi Gachagua alikuwa hataki.yeye ashike hiyo nafasi Kwa kumbagua kikabila
Tatu kasema yeye kama Mkurugenzi mkuu wa Usalama wa Taifa haripoti taarifa zake Kwa makamu wa Raisi huripoti Kwa Raisi moja Kwa moja .Raisi ndie huzipokea sio Makamu
Kuwa Gachagua Makamu wa Raisi anajiongelea tu kuchafua taasisi na yeye kama mkurugenzi wa Usalama wa taifa.ndio maana kaamua kujibu
My take Kenya Kuna shida Mungu awasaidie