Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

Kila mtu ni billionaire bhana. Tunatofautiana tuu tarakimu. Hata Tsh 10,000/= unaweza itamka $0.0000000045 billion. Huyo Rihanna aache kurusha roho wake zetu.
Hahahahaha umemaliza siku yangu kwa kicheko kikubwa haswa
 
Kila mtu ni billionaire bhana. Tunatofautiana tuu tarakimu. Hata Tsh 10,000/= unaweza itamka $0.0000000045 billion. Huyo Rihanna aache kurusha roho wake zetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sex in the pool dah haya maisha bana mhhjjj haya bana
 
Wanasema once you go black you can't go back. Waarabu nao wamegundua utamu wa papuchi za weusi. Bila shaka hawa mabilionea wataanza kushuka na hapa Bongo 😡😡😡 ili kuja kufanya yao, ila wasiwasi wangu wanataka celebrities tu tena wale wanaojulikana dunia nzima siyo hawa wa kwa Mtogole 😎😎😎

Maisha mafupi sana acha atumbue.Huyu kaka aliwahi kuwa mpenzi wa Naomi Campbell
 
You're genius man ....
 
Na siku wakikosea njia wakakamata kuku wa kienyeji kutoka kwa Mtogole Hachomoki Mtu.
 
Reactions: BAK
Hilo ndo linalotunyima fursa Dada zenu wa kwa mtogole
 
Reactions: BAK
Umeona eeh! Hawa akina Rihanna hawajui mautundu ya yale majambo yetu kama hawa mabinti wa kwa Mtogole.

Na siku wakikosea njia wakakamata kuku wa kienyeji kutoka kwa Mtogole Hachomoki Mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…