Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hata mm nisingemkataa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zea u say mkuu[emoji110] [emoji1]Huwaga najiuliza...diamond angekua fukara zari angemuona?? Wema angemuona??
Wakuu tutafute pesa!!
Hahahahaha umemaliza siku yangu kwa kicheko kikubwa haswaKila mtu ni billionaire bhana. Tunatofautiana tuu tarakimu. Hata Tsh 10,000/= unaweza itamka $0.0000000045 billion. Huyo Rihanna aache kurusha roho wake zetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mtu ni billionaire bhana. Tunatofautiana tuu tarakimu. Hata Tsh 10,000/= unaweza itamka $0.0000000045 billion. Huyo Rihanna aache kurusha roho wake zetu.
lol, edit post yako Blaki womaniHahahahaha umemaliza siku yangu kwa kichoko kikubwa haswa
Wewe hujawahi kumkataa mtu yeyote!!Hata mm nisingemkataa....
Wewe nilikukubali lini mkuu,?hebu nikumbushe...Wewe hujawahi kumkataa mtu yeyote!!
Kama huyo kwenye picha ni wew basi haustahili kupata kibaka.ni kisu balaa.njoo pm uishi maisha ya hadhi yako.but if and only if kama huyo kwenye avatar ni wewe.Sis tutaendelea kupata tu vibaka
Sio mim lakin mbona zaidi ya huyoKama huyo kwenye picha ni wew basi haustahili kupata kibaka.ni kisu balaa.njoo pm uishi maisha ya hadhi yako.but if and only if kama huyo kwenye avatar ni wewe.
Maisha mafupi sana acha atumbue.Huyu kaka aliwahi kuwa mpenzi wa Naomi Campbell
a.k.a hela za ewuraAcha ale pesa za mafuta
You're genius man ....Kwa kifupi, acheni nongwa
Kwanza someni CV ya Huyo mwarabu, kwanza mtajua ni msela na mtu wa kujirusha sana. Msijifanye mnamsaidia eti amuache Riri kwakua ni gold digger.
Haiingii akilini riri atampataje kijana mtaratibu wakati ye mwenyewe ni mtu wa kujirusha.
These two worlds dont work. They say birds of the same flock fly together.
So Riri anataka rude boy sio watoto wa mama.
Ndio maana mwarabu alishabanjuka na naomi cambel ambaye aliwahi kua mpenzi wa mike tyson na p.diddy wakati fulani wayback.
So mwarabu naye ni muhuni kama
Wengine. Na jangwa bado linatoa kiwese. Na ndio maana alipomuona alijua
Amepata type yake.
Huruma zenu pelekeni mahospitalini.
Wanasema once you go black you can't go back. Waarabu nao wamegundua utamu wa papuchi za weusi. Bila shaka hawa mabilionea wataanza kushuka na hapa Bongo 😵😵😵 ili kuja kufanya yao, ila wasiwasi wangu wanataka celebrities tu tena wale wanaojulikana dunia nzima siyo hawa wa kwa Mtogole 😎😎😎
Hilo ndo linalotunyima fursa Dada zenu wa kwa mtogoleWanasema once you go black you can't go back. Waarabu nao wamegundua utamu wa papuchi za weusi. Bila shaka hawa mabilionea wataanza kushuka na hapa Bongo 😵😵😵 ili kuja kufanya yao, ila wasiwasi wangu wanataka celebrities tu tena wale wanaojulikana dunia nzima siyo hawa wa kwa Mtogole 😎😎😎
Na siku wakikosea njia wakakamata kuku wa kienyeji kutoka kwa Mtogole Hachomoki Mtu.
Aisee hili nalo neno mkuuHuwaga najiuliza...diamond angekua fukara zari angemuona?? Wema angemuona??
Wakuu tutafute pesa!!
La msingi sii tunakukojozaNa wacheza visingeli....wanaume wa bongo njaa tu.